JK Kiboko kwa Misemo...Hebu ona hii!!!

enhee...pale kidogo alivaa ngozi nene maana kidogo alitoa maneno magumu kumeza kwa kiasi fulani...inaweekana hata ile houba aliandikiwa na akalazimishwa ayasome yaliyokuwemo au alipewa sekunde chache kabl ya kuingia kwenye mkutano hivyo akawa hana jini ya kufanya..ikambidi aisome tu hata kwa shingo upande!
mara ya mwisho kumsikiliza ni siku alipowachana live waislamu kule Dodoma kuhusu madai yao ya OIC,Mahakama ya Kadhi.... Na sijui ile hotuba aliandikiwa dhaifu yule?
 
ina maana mpaka inatokea hatua ya kuchomekewa hundi isiyokuwa sahihi, wale masharobaro wake wanafanya kazi gani?
Wao kujionyesha kwenye TV wakatuchukulie mademu zetu mtaani ukiwakuta pale Simbakapakatwa wakitanua....utaona nchi hii inaliwa na wenye meno!!
 
halaf pale pembeni ya simbakapakatwa si ndio wanapoishi?ila kweli jamaa wanauza sura..wakirudi uswazi tu wana wasimbachawene wke za watu huku dhaiu naye akichomekewa vi2 vya hovyohovyo
Wao kujionyesha kwenye TV wakatuchukulie mademu zetu mtaani ukiwakuta pale Simbakapakatwa wakitanua....utaona nchi hii inaliwa na wenye meno!!
 
Teh,teh,teh,tih,tih,tih,twii,twii,twii asavali yangu dingi nimeshamzika kitambo may God rest my daddy's soul in peace,hivi huyu angekuwa baba yangu ningeificha wapi sura yangu,thijui brother Ridhi anajifilaje?
 
wakati wa kampeni alisema,

"tunajenga nyumba moja kwa nini tugombee fito?"

nashangaa kwa sababu hayo aloyasema wakati na yeye akigombea fito.
 
ninanamda sijamsikiliza maana sionagi cha kujifunza kwa huyu mdhaifu...aliwahi kwenda kufungua visima vya maji kumbe viongozi wake wameweka matank chini halafu wakajaza maji kutoka sehemu nyingine na aliwahi kufungua hotel usikuwake ikabomolewa na serikali kwa kuwa ilijengwa brbrni...kifupi tuna kituko aka dhaifu
Huwa nikiwa nje ya nchi napata taabu sana kujitambulisha kwamba mimi ni Mtanzania, kwasababu ya JK maana inaonyesha sisi ni vilaza sana kwamba tulimpigia kura awe Rais wetu kwa mara ya pili bila kumsitukia kwamba ni dhaifu, watu wengi wasio Watanzania wanadhani tuna Tume huru ya Uchaguzi, hivyo wanaamini JK alichaguliwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom