JK, Ki-Moon wateta mgogoro wa Malawi

Go on our JK,
endelea kusaka ufumbuzi kwanjia ya mazungumzo mpaka pale yeye mwenyewe JB atakapoamua njia isiyofanana na hiyo ambayo pia Ofisi yako itaipima usahihi wake na namna ya kukabiliana nayo. Lengo letu ni kutokupoteza Ziwa Nyasa in its totality
 
Nina hamu navita kweli.

Huyu Dhaifu sijui anachelewa nini kushusha kichapo kwa huyu kijimama JB? Hivi kule Comoro alipeleka wanajeshi wetu 2007 kulikuwa na maslahi gani kwa Taifa tofauti na maslahi ya kuporwa Ziwa Nyasa?
 
JK anaishi kwa kudhani hahhahahhahah hili ziwa tumepolwa UNADHANI MHESHIMIWA JK

Huo ni uthibitisho wa kiongozi dhaifu na asiyejua wala kuweza kutetea mipaka ya nchi yake, inashangaza sana, kwani wakati anagombea urais na baadae kula kiapo cha kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ina maana alikuwa hajui mipaka ya nchi yake kikatiba?

Kama ni kweli alisema anadhani hapo hatuna rais ila ni pambo tu na atatuzulia majanga mengi sana huyu, aende shule ya msingi minazi mirefu n.k awaulize wanafunzi wa darasa la sita watampa jibu sahihi badala ya kudhani.
 
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.

Malcom X
 
Iwapo wamalawi watafanikiwa kukipoka kipande chetu cha ziwa, Msumbiji wajiandae - maana issue ya kunyang'anywa itahamia kwao.
 
Hivi huyu MAMA anaweza kuwa na hoja gani ya msingi kuhusu utata wa kuligawa ziwa katikati inapokuja suala la mpaka kati ya Malawi na Msumbiji, alafu ziwa hilo hilo upande wa Tanzania na Malawi anasema eti "ziwa lote ni mali ya MALAWI!"

Wamalawi wanajisumbua bure wasifikili wanaweza kupata support katika suala hilo - watapata mataifa machache wazabazabina ambao walikuwa wanashirikiana nao kupinga ukombozi kusini mwa Africa kwa ku-support RENAMO na SAVIMBI, sihajabu ndio wanachangia kuwapa kichwa Wamalawi; swali ni je pakifumuka vita watakuja kuwasaidia?

unadhani mtutu wa bunduki utabatirisha mikataba ya waingereza na wajerumani?
 
jk anadhalilisha nchi. Hapa ndio nakuja kuona umhimu wa kiongozi dhabiti.!
 
Back
Top Bottom