JK Kawageuka Museveni,Kagame?

JK Kawageuka Museveni,Kagame?

kagame ndio anawasponsor hawa rebels na nia yake kubwa ni kuhakikisha eneo hilo halistabilises ili aweke buffer na kabila kwani congo ikitulia anajua his days are numbered kanchi kake ni kadogo kuvamiwa siku moja tu nchi inachukuliwa so anaweka buffer hiyo na hawa watusi wanadhan eneo lote la great lake region ni mali yao eti wao ndio dominant race so hata congo wanataka iwe ya watusi!!!! big up sadc
 
Back
Top Bottom