JK...JK...utatoboa kweli?

Haya tena!milipuko milipuko! GONGO LA MBOTO.naona hii awamu ya pili imeshakua ndefu.
Sasa kanali JK hata masuala ya usalama inashindikana?
'Yangu macho' time will tell.
 
Mkisha kuwa na rais mzembe anayewapapatikia mafisadi mtakoma ubishi.
 
Naona mkulu ameamua rasmi kuwatosa wastaafu wazee wa east africa.kumbuka tegemeo la ccm kwa sasa ni wazee na wakinamama.
 
mien sio mnajimu
kama wengine ambao juzi kati
hapa wameaga. lakini kwa hili naunga mkono 100%
mkw ere anaweza asitoboe 2011
 
Mkuu wa nchi angalia sana suala la umeme lisije kuwa chanzo cha kufupisha utawala wako.ni maoni tu mimi sio mtabiri!
 
sidhani, kama ni mjamzito basi kaanza kupata uchungu akiwa na miezi miwili,kwa hali hiyo atatoba tisa kweli,mmh, kalilia wembe
 
Back
Top Bottom