MUNGU tusimfanyishe OVERTIME kusaidia kutatua yale ambayo katupatia uwezo wa kutatua wenyewe!!!! Mlimchagua wenyewe; issue ni kutorudia kosa next time ukichagua kiongozi wako
[/QUOTE]That means, kama aliyakuta hayo matatizo so na yeye hayaache bila kudeal nayo? Tupe data, aliyakuata kwa kiwango gani? mahitaji yalikua kiasi gani (rate of population increases reflected in the demand of socio-economic infrustructures)Kama umekula gamaba na kunywa damu ya magamba utaendelea hivyohivyo. JMK is the worst president that this country ever had. QUOTE=FaizaFoxy;2146221]Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
Sasa hivi tuna akiba ya kununulia vyote tunavyohitaji kutoka nje kwa miezi sita ijayo (ni akiba kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki) aliwachiwa ya kutosha mwezi mmoja kama sikosei. Chakula tunacho maghalani hilo pekee ni jambo jema kabisa alilofanya JMK, unakumbuka njaa ya 2005 aliyowachiwa? Au umesha sahau? Akasema atafanya kila njia "hafi mtu kwa njaa". Leo hata kwa hayo bdo ni mbaya tu?
Umeshatimiza ulichotumwa na nape/msekwa/mkama,subiri malipoMatatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
2005 watanzania walimchagua wakizani wamepata mkombozi kumbe wameingizwa mkenge, mimi sijawahi kumpigia kura huyu Kilaza. 2010 Watanzania hawakumchagua bali alichaguliwa na NEC inayoongozwa na Tendwa na Mafisadi wengine. Rais wa Ukweli ni Dr.Slaa sio Kikwete
Hata ikiwa 10,000 kilo moja, mradi ipo na uwezo wa kununulia upo, tatizo ni nini? Ikiwa haipo na uwezo haupo ndio tatizo. Figures zisikustuwe sana. Kwani ITALY ni lira ngapi kilo ya sukari? Au Japan ni yen ngapi?Aliyakuta lakini sio kama alivyoyakuta yeye, sasa yamezidi maradufu yake na Ufisadi umezidi maradufu yake bei ya chumvi na sukari alivyoikuta nitofauti alivyoikuta sasa imepanda kwa 100% au zaidi ya hapo. Kwa ufupi Kikwete ni Janga la taifa kwa watanzania na tukiendelea nae mpaka 2015 tutakuja kununua 1KG ya sukari kwa Tsh 5000. Mtawala mwenye kuleta mzaha kwenye maisha ya watanzania, kazi kuchekacheka kama ******** na kusafiri kama Mtalii au Christopher Columbus kama vile anatafuta nchi nyingine aitawale. Kikwete hafai kabisa kuwa hata mjumbe wa nyumba 10. Ni janga la kitaifa kuwa na mtawala kama Kikwete
He hii kali sasa, hivi ni kweli waliopita hawakufanya kitu? Jamani mwogopeni MUNGU. Itoshe tu kwamba kuna juhudi zinaendelea chini yake. Unataka kusema mabwawa ya kuzalisha umeme ya Mtera, Kidatu, Kihansi n.k yamejengwa na kuendelezwa kipindi cha Kikwete! Njia zote kuu za kusafirisha umeme zimejengwa kipindi cha Kikwete mpaka useme walimwacha kiza totoro!Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
Sasa hivi tuna akiba ya kununulia vyote tunavyohitaji kutoka nje kwa miezi sita ijayo (ni akiba kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki) aliwachiwa ya kutosha mwezi mmoja kama sikosei. Chakula tunacho maghalani hilo pekee ni jambo jema kabisa alilofanya JMK, unakumbuka njaa ya 2005 aliyowachiwa? Au umesha sahau? Akasema atafanya kila njia "hafi mtu kwa njaa". Leo hata kwa hayo bdo ni mbaya tu?
matatizo ya umeme na maji jmk kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni jmk ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
Sasa hivi tuna akiba ya kununulia vyote tunavyohitaji kutoka nje kwa miezi sita ijayo (ni akiba kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki) aliwachiwa ya kutosha mwezi mmoja kama sikosei. Chakula tunacho maghalani hilo pekee ni jambo jema kabisa alilofanya JMK, unakumbuka njaa ya 2005 aliyowachiwa? Au umesha sahau? Akasema atafanya kila njia "hafi mtu kwa njaa". Leo hata kwa hayo bdo ni mbaya tu?
china kilo ya sukari leo ni yen 4 ambayo ni sawa na tsh 920, bia moja ni yen 2 ambayo sawa na tsh 460, lakini hata hivyo sina hamu ya kuendelea kureply kwa maana huwa unanichefua na kunipandisha hasira kwa miutumbo yako unayopost humu, na niliwahi kufungiwa kwa ajili yakoHata ikiwa 10,000 kilo moja, mradi ipo na uwezo wa kununulia upo, tatizo ni nini? Ikiwa haipo na uwezo haupo ndio tatizo. Figures zisikustuwe sana. Kwani ITALY ni lira ngapi kilo ya sukari? Au Japan ni yen ngapi?
Hatumpendi, tumemchoka.