NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 309
Kuna aina nyingi sana za uongozi/management style ila hii ya JK nimeipenda sana. Nashauri ma CEO wa makampuni waitumie.And serious if you want your organization to be successfull then apply this one. JK ameweza kuwa frustrate watanzania na kila right yao wakaiona ni favor. Mfano Umeme usipokatika utasikia watu wanasema he leo vipi, maji hivyo hivyo, mafuta yakishuka bei hata shs 50 sherehe, sukari ikipatikana kwa urahisi watu wanasheherekea. Itafika sehemu hata mshahara watanzania wataona ni favor pia.