hapana nakubaliana na wewe kwa 100% kikwete hasomi, that means he doesnt know what is happening in the world, anajenga hoja kwa kutumia information anazozipata toka kwa watetaji wake tu.Tatizo siyo lugha tatizo ni kwenda kwenye interview mtu haujajiandaa. Inawezekana majibu aliyo toa hapo ni spontaneous na wala hakujiandaa ata jibu vp maswali.
His English is good, mind you he is just a graduate and then worked with ccm whose main language is Swahili.