Nteko Vano
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 434
- 113
Pasco
Sekta ya fedha -uchumi na nishati hapa nchini zina changamoto kubwa sana. Alichokifanya JK ni kulinganisha wataalam mbalimbali katika sekta hizo na kuona wabunge aliowateua na kuwa mawaziri wana sifa kubwa kuliko ambao anao katika bunge lake. CVs zao tumezisoma hapa JF. Hatuwezi kusema wabunge wa CCM ni vilaza bali hawajafikia sifa za hawa wawili katika sekta hizi mbili. Ingawa wapo wengine ni mzigo kweli.