JK hujawatendea haki wabunge wa CCM

Pasco,

..Raisi ameteua wabunge 2 wapya na kuwateua kuwa mawaziri.

..Now, why do u believe kwamba kumetokea mabadiliko makubwa mno kiasi cha kuhalalisha wewe kuleta posting kama hii?

..mimi nakushauri upumzike kwanza, ili kurudisha fahamu zako. hicho unachokiamini, kwamba Raisi amefanya mabadiliko makubwa ktk baraza lake la mawaziri, sicho kilichotokea.
Mkuu Joka Kuu, kuna maswali nimeuliza nasubiria majibu!.

To put the record straight, CCM ina wabunge 200+ kule mjengoni!. Yaani katika hao alikosa wa kutosheleza hadi kuteua wengine watatu aliowapa uwaziri?.

Yaani pool yote hiyo ya 200+ ni makapi, vilaza with nothing to offer au they are good ila JK ana lake jambo?!.

Nani kasema JK amefanya mabadiliko makubwa?!. Mabadiliko makubwa ni 2015!.
 
jana rais ametangaza baraza jipya la mawaziri,cha kushangaza kuna watu hawakua wabunge lakini wameteuliwa kuwa wabunge na kupewa wizara.swali langu je,katika wabunge wote wa ccm hakuna msafi au mtu mwenye uwezo wa kua mawaziri ni akina wasira pekeyao? Mpaka atoe mawaziri nje? Filipnjombe, malole,baduel,lusinde,mama malecela

Mkuu mbona umemsahau Profesa Majimarefu ha ha ha ha
 
Kusema ukweli, ukiangalia hulka za wabunge wengi wa CCM katika mijadala bungeni unashawishika kwamba sifa zote ulizozitaja Pasco wengi wanazo!!!
Hata hivyo, kwa sababu wao wenyewe hawaamini kwamba wana sifa hizo, kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mgogoro mkubwa sana kati ya serikali na wabunge wa CCM kutokana na mambo yaliyotokea wakati wa mabadiliko haya ya Baraza la mawaziri!!!!!
 
Back
Top Bottom