Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Unajua maana ya ceteri peribus? unajua maana ya if all other factors remain constant? between me and you who is an intellectual dwarf here? Jenga tabia ya kusoma usikurupuke tu....Unaathiriwa sana na group thinking!
Unajua usiwe unaongea tu, kuna vitu vya kujaribisha na vingine sio. Ngazi ya urais unaichukuliaje wewe? Kwa ulivyosema kuna kazi zingine sawa lakini kwa kazi mbazo ni sensitive sikubaliani na wewe kabisa. Na tukifanya mchezo katika uchaguzi wa rais tutajiingiza kwenye matatizo yasiyo weza kupta jibu.
Acha vitisho bwana,matatizo kama yapi ambayo 40+ years old wanayoweza ku-guarantee kwamba hayawezi kutokea?
Nyerere mkombo toka kwa wakoloni weupe/ Gaddafi mwanamapinduzi tofauti na hawa wa sasa hakuna wakombozi ni waganga njaa tu, itatuchua muda kumpata mkombozi wa nchi wa wakoloni weusi au mwanamapinduzi. Kuwa mwanamapinduzi au mkombozi hakuna age limit.
Kuhusu Katiba hilo ndio jibu. Ila kulingana na wakati ule hiyo ndio katiba walio iona ainafaa hawakukurupuka Kama hao wanao ongea ongea majukwaani.
hatutaki wazee kama kina sitta na mwandosya tunataka vijana kama kina lowassa.
Lengo la rais ni jema sana, read between the lines. Lengo lake kubwa ni kuvunja makundi yanayowania urais sasa kwa sababu kumekuwa na uhasama mkubwa sana hata kufikia kulishana sumu. Makundi haya yote karibu yana umri sawa na Rais au zaidi. Wakijua kwamba chama hakitawateua kugombea basi wataacha uhasama au watapunguza uhasama. Uhasama unaweza kuendelea kama tu kila kundi litatafuta kijana wao wa kumsimamisha kama wanavyofanya kwenye nafasi za ubunge, udiwani, ujumbe wa NEC, Wenyeviti wa CCM Mkoa na wilaya na hata wakuu wa mikoa na wilaya. Hii haitakuwa na madhara sana.
It doesn't matter who the next president will be but let it be a person who will work for a better Tanzania and deliver full development not just promise. A government that will have a development strategy. A government who executive will seperate politic and governance. A government that will delivery good governace and accountability.
A young & principal president with the energy and time to develop and oversee ideas not someone who career is coming to an end. This will be a dotcom president one who has developed with technology.
We need a young president not pensioners!
Kikwete kaambiwa na nani kwamba Watanzania hawataki rais "Mzee"?
Au yeye ndiye anataka kuwachagulia Watanzania rais?
Rais haoni kwamba anawagawanya Watanzania katika makundi, vijana na wazee, badala ya kuwaunganisha wote?
Rais haoni kwamba anataka kuwanyima wazee haki yao ya kikatiba ya kugombea uongozi?
Rais haoni kwamba anawavunjia wazee heshima kinyume na mila za kiafrika zinazoheshimu wazee?
Huyu JK anatakiwa ashitakiwe kwa kutoa matamko kinyume na Katiba ya nchi aliyoapa kuilinda, inayoweka bayana kwamba mtanzania yeyote mwenye umri zaidi ya miaka 40 ana haki ya kugombea uraisi. Kwanza yeye raisi kijana kuliko wote tuliowahi kuwa nao huko nyuma kafanya lipi la maana kuliko wengine zaidi ya kutuvurugia tu maendeleo ya nchi yetu na kufanya uongozi wa nchi uonekane kama sherehe ya wendawazimu! Anapaswa kufikiri kabla ya kuongea point zisizo na maana.
Kweli kabisa umenena, tatizo sio uzee au ujana issue ni uwezo wa mtu kuongoza nchi. Kama kweli Jk kasema hii? it is another flaccid .tatizo ni kuwa kipimo hicho kinachotumiwa sana siku hizi cha "uzee" tukikileta kwake yeye mwenyewe atang'aka. Kama mzee hawezi kuwa rais 2015 kwanini mzee awe rais 2012? Na tatizo la uongozi Tanzania halijawahi kuwa umri!
Mkasika,
Bravo !
The reason someone cry I have no shoes, I have no bag, I have no school uniform, I have no book is just to belong. No vision, only ultimatum. See, another JK's 5 years will soon be over and we shall all judge in contest of prosperity.
I wonder the reason people don't want to acknowledge that the struggle of next generation will be mammoth face than theirs if they fail to promote good governance in Tanzania vested on capable young generation. May be we don't know that your children and my children are future. By defacing Zitto's and other young politicians achievements with their corky tongue, they give reason to bad ones to be complacent
Since people are passionate about the guy, let it be, to me it seems he's the best performing MP.Haters keep Hating, because that's what you do best.Pamoja na kwamba alisema hayuko kwenye race ya Urais 2015 na atamuunga mkono Mgombea wa chadema.Hata kama angetaka kugombea yeye au mtu mwingine hiyo ni democratic Right,ni constitutional Right !
In a nutshell now,No nation has ever attain greatness with good luck, may be we think Future is a Gift. It is an Achievement if we don't know.
Kwa hiyo katiba mpya ghafula itatuletea wakombozi? Kwa hiyo hawa wanasiasa waliopo sasa ni waganga njaa tu?unamaanisha hata hawa walioko above 40?na kama katiba mpya haiwezi kutuletea wakombozi ghafla,what is your suggestion?Tuingie msituni ?
ninavyojua mimi zitto ameoa,na inapotokea mwanaume akajigonga kwa mwanamme mwenzake kiasi hiki,ndoa ya huyu mbunge inakuwa mashakani especially mke wake akipita humu jamvini na kusoma mahaba kipofu kama haya...unless wewe ndio zitto mwenyewe na ID nyingine.
yes if The constitution will be revolutionary otherwise not and We need a revolutionist, I hope u understand
A revolutionist is one who desires to discard the existing social order and try another. Every man is a revolutionist concerning the thing he understands. We have problem in Tanzania that every man is a politician, in this way it will take us a time to have a real revolutionist.
Wapo wachache sio waganga njaa, lakini they have no say, no power (inferior)
ndio maana yakesijui anataka riz 1 ndo agombee