Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,182
JK alipokuwa anajibu maswali ya watu wake wa karibu pale Ikulu siku moja kabla ya uchaguzi aliulizwa swali kuhusiana na urithi gani ambao angependa watanzania wamkumbuke......................alijibu..................ningependa watanzania wanikumbuke kuwa niliwatoa hapa na kuwapeleka pale..........lakini hakusema alitutoa wapi kwa hiyo hata yeye hapajui...........................na aliahidi kutupeleka pale bila ya kusema ni wapi ikiashiria hata yeye hajui........................Hivi mbumbumbu huyu kweli tutamkumbuka vipi kwa sababu hata yeye hajijui alitutoa wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi....................
Kama angelikuwa anajua angelituelezea ......................mfano uchumi aliukuta wapi..............thamani ya shilingi je...............mraro wa mapato.....................mfumuko wa bei................deni la nje na la ndani je..................pato la mtanzania kabla ya kuingia na baada ya kutoka............hizi ni baadhi ya njozi za kiongozi mwenye dhima lakini huyu wetu...............tuseme ule ukweli ni bora liende tu.....................
Ninaomba kuwakilisha mada...................