Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.
Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.
Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo
NAWAKILISHA
Unawakilisha au unawasilisha?mpaka mramba na yona wawe ndani ndio uwakilishaji wako kidogo utakuwa na mashiko
Hayo amefanya kikwete sasa na aliyo fanya Slaa ni yapi zaidi ya kupiga domo?
Naona hawa walioshindwa kulivua gamba wamemwaga kwa wingi leo hapa kama kumbikumbi! ili kuja kuandika upupu wa Chama Cha Mafisadi.
Na wewe umetumwa na nani? waiba kodi?
Una uhuru wa kutumia demokrasia utakavyo, UKWELI unabaki pale pale JK kapaisha demokrasia TZ na vyombo vya dola amewapa uhuru wa kutekeleza majukumu yakeJK no at all
i reserve my comment on this stupid prezidaa isije ikawa
Mafanikio yapo wapi?Una uhuru wa kutumia demokrasia utakavyo, UKWELI unabaki pale pale JK kapaisha demokrasia TZ na vyombo vya dola amewapa uhuru wa kutekeleza majukumu yake
Sasa kama kila kitu kina mwisho wake basi kwanini iwe CCM na sio chadema? l bora mafisadi kuliko chama chenye nia ya kuchafua nchi.Nakuonea huruma sana kuja hapa na kutetea ufisadi na dhuluma kubwa zinazofanywa dhidi ya Watanzania. Inaelekea nawe ama ni fisadi au unanufaika kwa namna moja au nyingine na ufisadi huo ndio unaandika upupu wako kutetea chama cha mafisadi, lakini ukae ukijua kila jambo lina mwisho wake. Na mwisho wa chama cha mafisadi wala hauko mbali.
Bora nchi ichafuke tujue moja kuliko masultan wachache kudhania hii nchi wamerithishwa wao na Mungu na sisi wengine ni watumwa wao. Hapana, kama soo na iwe soo tu.Sasa kama kila kitu kina mwisho wake basi kwanini iwe CCM na sio chadema? l bora mafisadi kuliko chama chenye nia ya kuchafua nchi.
Una uhuru wa kutumia demokrasia utakavyo, UKWELI unabaki pale pale JK kapaisha demokrasia TZ na vyombo vya dola amewapa uhuru wa kutekeleza majukumu yake