Habari za uhakika baada ya Dialo na Masha kumwagwa vibaya na CHADEMA JK ashukuka kisiri usiku hakuna ajuaye kafuata nini. Yuko Bugando kumuona swaiba wake Masha aliyelazwa baada ya mshtuko mkubwa. Habari za uhakika amewekewa oxygen Hali ni mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaa.