JK ateua wakuu wa wilaya wapya

JK ateua wakuu wa wilaya wapya

Utabiri wangu: Ma DC waislam watakuwa 60%, wakristo 40%. Wait..

ninavyowafahamu wanyisanzu ustaarabu wao,ni kinyume kabisa na uharo wako unaouonyesha hapa jukwaani.


unajidhalilisha na michango yako mingi hapa jukwaani nimeifatilia ni uharo uharo tu.
badilika acha gubu utajapata maradhi bure wewe.
 
Ameshawateua kabisa au atawateua muda wowote kuanzia sasa?Hebu mtaje huyo mjivuni watu watupe data zake maana hapa JF watu wanadata za kila mtu hata usalama wa taifa hawaoni ndani!!
Nimeipenda hiyo ........kiswahili bwana.......sio mjivunaji?
 
Back
Top Bottom