JK ateua wakuu wa wilaya wapya

JK ateua wakuu wa wilaya wapya

Sasa mwenzio akishateuliwa,, wewe data zinakusaidia nn? unabaki kupiga umea tu humu, mwenzio anapeta na maisha yanasonga.......fikiri upya
 
izi shule za kata bwana,thrid sijaituma mimi,afterrow maisha yako huwezi kunipata WE KIAZI..SH..NZI

Taratibu mkuu. Tuheshimu basi jamvi. Kama una tatizo kubwa unaweza kum PM jamaa siyo lazima kila mtu aone hayo matusi hapa hadharani.
 
Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na kutishia watu kwa kupata cheo hicho kipya.

Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mzee mmoja anbaye ni rafiki mkubwa wa m/kiti huyo wa uvccm. Alinieleza kuwa m/kiti huyo alimpigia simu na kumpa taarifa za uteuzi huo leo mchana.

Mwenye taarifa atujuze.
Japo ni tetesi, its about muda wa kuwatangaza umekaribia!. Akiwa Morogoro mwezi February, JK alitangaza kuikamilisha safu hiyo ndani ya mwezi mmoja!. Miongoni mwa tetesi, pia Mtangazaji mwingine wa ITV/Radio One, ataukwaa ulaji!. Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mhe. Betty Charles Boniface Mkwasa, aliukwaa ukuu wa wilaya, akitokea utangazaji wa ITV/Radio One. Watangazaji wengine walioukwaa ukuu wa wilaya ni Sarah Dumba na Halima Kihemba!.

Kiukweli, nafasi ya DC ni miongoni mwa colonial legacy ambayo tunaiendeleza!. Hawa jamaa hawana lolote la maana wafanyalo zaidi ya kuongoza vikao vya kamati za ulinzi na usalama!. They are useless!.

Mkisimamia EL asimamishwe kugombea CCM, rais atatoka Kaskazini na tutapata ukombozi wa kweli wa pili baada ya uhuru, nafasi za Wakuu wa Wilaya, zitafutiliwa mbali!.
 
Aiseee! Kumbe Dalai lama na wewe unajua kutukana!

mungi bwana kuna jamaa mwenye jina kama MHOGO PORI anataka kunitishia kana kwamba hii thrid nimeileta mie..mwambie hanijui eee.ntampiga sala
 
Naiunga mkono hoja ya Pasco kwa 100%.Ma DC ni useless kabisa.
 
Naiunga mkono hoja ya Pasco kwa 100%.Ma DC ni useless kabisa.
 
kama ungetaka na sisi tukusaidie kutafuta ukweli ni bora ungemtaji jina JF ni jukwaa huru
 
Jukwa hili sasa haliheshimiki kabisa ....Mods okoeni jukwa kwa kufuta threads kama hizi
 
Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na kutishia watu kwa kupata cheo hicho kipya.

Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mzee mmoja anbaye ni rafiki mkubwa wa m/kiti huyo wa uvccm. Alinieleza kuwa m/kiti huyo alimpigia simu na kumpa taarifa za uteuzi huo leo mchana.

Mwenye taarifa atujuze.

kama ameteua mbona hawajatangazwa? Baadhi ya Wanasiasa wana tabia ya kutumia nembo ya JK kujikweza hasa wanaopenda kuogopwa kwa kisingisio cha kuwa karibu na JK
 
Kiukweli, nafasi ya DC ni miongoni mwa colonial legacy ambayo tunaiendeleza!. Hawa jamaa hawana lolote la maana wafanyalo zaidi ya kuongoza vikao vya kamati za ulinzi na usalama!. Mkisimamia EL asimamishwe kugombea CCM, rais atatoka Kaskazini na tutapata ukombozi wa kweli wa pili baada ya uhuru, nafasi za Wakuu wa Wilaya, zitafutiliwa mbali!.

Pasco na wewe!

Kwani nafasi za wakuu wa Wilaya zinawekwa na Rais au Katiba?

Lowassa alikuwa Waziri Mkuu for two yrs, je, alifanya lolote [mfano kuandaa mswada wa sheria ya kufuta nafasi hizo za wakuu wa wilaya] kuondoa nafasi hizo?

Kama alishindwa kuonyesha nia ya kufuta nafasi hizo zama hizo akiwa na authority ya kufanya hivyo, leo hii ni nini kitamfanya afute nafasi hizo?

Lowassa ana mtandao mkubwa sana wa marafiki, kufuta nafasi hizo inaweza kumfanya akakosa zawadi za kuwapa watu wake wanaomlamba miguu kila kukicha. Kisa cha wanamtandao kusambaratika ni pamoja na wengine kubaki nje [wana mtandao matumaini] vs waliobahatika kupewa posts [wana mtandao maslahi]. Kwa hiyo siyo rahisi Lowassa kufuta nafasi za wakuu wa wilaya ambazo hutolewa bila kuangalia hata elimu ya mhusika maana inarahisha kuwapa nafasi hizo watu kama akina Nyari na Askofu [Thomas Mollel].

Kama unakumbuka vizuri, baada ya Pinda kuwa PM, wakuu wa wilaya walipanguliwa na kulikuwa na habari zilizoandikwa na Raia Mwema kwamba Lowassa aliingilia kati mchakato wa uteuzi wa wakuu wa wilaya na kwamba kuna watu walikatwa majina yao. Tuhuma hiyo haionyeshi dalili za mtu kufuta hizo nafasi.
 
Utabiri wangu: Ma DC waislam watakuwa 60%, wakristo 40%. Wait..
 
Ivi pasco na wewe umeahidiwa na lowassa kuwa mchunga ng'ombe wake engikaret akiwa rais..ee.ASEE.MANA ANASEMAGA ATAMFUKUZA MCHUNGAJI LOINEVU SAINOI MAANA post zote za kwake zishajaa na wengi wanajipendekeza
 
Utabiri wangu: Ma DC waislam watakuwa 60%, wakristo 40%. Wait..
 
Majungu si mtaji mkuu. Kama ipo ipo tuu, usihangaike kuzima taa ya mwenzio ili watu waone mwangaza wa yako!
 
kipimo cha akili yako ni jinsi watu wanavojibu maneno na mawazo yako unayoongea nao
 
Back
Top Bottom