JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

Kwisha habari ya Taa ne sconga! Maana imedhihirika sasa kuwa hilo shirika ni la wapare na wachaga, na kwa sababu jamaa wamevamia mapenzi kwa kasi ya upepo basi hatutashangaa kusikia kuwa ili upate umeme lazima uwe nyumba ndogo ya meku au baba dhao! Wameuza shirika kwa bei ya kujigawia! Bye bye shirika bovu lililobaki linasuasua!

hahahaha
 
Wachaga hawaepukiki kwani kila uendako utawaona. Jamaa atakuwa ameshapata gari jipya la kwenda kutesa nalo kwenye matambiko mwezi huu. Ataongeza msafala wa magari kwenda Moshi.
ataambiwa ni chadema pia
 
Mwanzoni nilifikiri ulikuwa unaropoka ropoka tu ndio maana nikwakwambia uache kutumia data za vijiweni....Sasa inaelekea kuna Mramba unayemfahamu vizuri lakini naona unamchanganya na Felchesmi ...Ninamfahamu vizuri Mramba (sio kwenye maisha ya shule tu hata ya mtaani pia). Kwa hiyo ninachokwambia ni sahihi. Kama nitakuwa nimekosea hili, ina maana nitakuwa hata sijui degrees nilizozisomea mwenyewe ! Yeye alimaliza degree ya kwanza 1996 (Faculty of Engineering - FoE) na mimi nilimaliza 1997 (hapo hapo Foe). Hajawahi kufanya kazi mahali popote zaidi ya Tanesco. Alimaliza tu chuo akaajiriwa Tanesco na alianzia kufanya kazi mkoa wa Tanga.

Sawa mkuu, ni za vijiweni, mnatubishie hata sie tuliosoma naye? na kabla ya kuwa Kaimu Mkurugenzi alikuwa anafanya kazi gani?
 
Back
Top Bottom