JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

Dah, jamaa kapata ulaji. Sijui ataweza kutuletea umeme wa uhakika? Au ndio itakuwa anapiga tu.
 
record yake na hasa maamuzi yanayojali nchi ikoje?
 
Shirika la ovyo sana, JK ni moja ya watu walioliangamiza kwa kuingia mkataba wa kifisadi na IPTL, akiwa ni waziri wa nishat na madini,

Mkuu, unaweza kutuwekea tuhuma za ufisadi za JK, kama ambavyo ilitajwa na Dr. Slaa pale mwembe yanga temeke?

Mkurugezi aanzie na hapo, kisha ashushe gharama za bei ya umeme.
 
Jamani ni nini hii?
Nilitegemea amteue Mhandisi Boniface Njombe kuwa Mkurugenzi Mtendaji.

Jamaa huyu anatisha kwa utendaji na ni mtu wa principles maishani mwake.

Hahongeki, hasaundiki, anachojua yeye ni kazi, haki bin haki. Kuna wakati alifanya kazi mkoa fulani, wa kabila lake wakadhani atawasaidia na matatizo yao, aliwaacha hoi na kuwatimulia vumbi akiwabana na taratibu za utumishi wa umma.

Lakini anyway, penye miti hapana wajenzi.
 
Du yale yale gonjwa baya sana hili walahi nyerere aliona mbali sana
 
Jamani ni nini hii?
Nilitegemea amteue Mhandisi Boniface Njombe kuwa Mkurugenzi Mtendaji.
Jamaa huyu anatisha kwa utendaji na ni mtu wa principles maishani mwake.
Hahongeki, hasaundiki, anachojua yeye ni kazi, haki bin haki.
Lakini anyway, penye miti hapana wajenzi.

Angegoma kupandisha bei huyu!!!!!!
 
Shirika la ovyo sana, JK ni moja ya watu walioliangamiza kwa kuingia mkataba wa kifisadi na IPTL, akiwa ni waziri wa nishat na madini,

Mkuu, unaweza kutuwekea tuhuma za ufisadi za JK, kama ambavyo ilitajwa na Dr. Slaa pale mwembe yanga temeke?

Mkurugezi aanzie na hapo, kisha ashushe gharama za bei ya umeme.
Yaani wewe n akili zako timamu unaishi kwa kuamini maneno ya Slaa?
 
Ukiwa mkurugenzi wa TANESCO ni nusu ya kuwa mtuhumiwa wa ufisadi.

Ukisoma Mwanahalisi....oh sorry.. Mawio la last week linaeleza kuwa huyu jamaa yupo katika mgogoro na mwenyekiti wa bodi ya Tanesco Jenerali mst Robert mboma ambapo mboma anasema jamaa anatakiwa kuachia ngazi lakini anatetewa na katibu mkuu wa nishati bw maswi. Tafuta Mawio la last week lina habari ya kina ya huyu mtu
 
cha kwanza ni kuondoa mchezo wa kuwapa watu kazi ya kuzisambaza nguzo za umeme,kwanini Tanesco wenyewe wasifanye kazi hiyo? inakuwaje unampa mtu kazi ya kuiuzia Tanesco nguzo tena nguzo hizo zinatoka njombe,zinapelekwa SA na kurudishwa Tanzania na kuuzwa kwa bei kubwa.
lakini pia niwakati sasa wa Tanesco kuachana na utumiaji wa nguzo za miti,ni vyema wakatumia nguzo zinazotenezwa na cement,hii inafanyika china na majirani zake,ukitumia nguzo za aina hii,huitaji kubadilisha kila wakati,huitaji kuogopa moto na zinadumu kwa muda mrefu.
tatizo la vishoka Tanesco limekuwa kubwa sana,ni wakati sasa wa eng huyu mramba kupambana nalo,ni vyema tanesco wakawaeleza wananchi ufikapo tanesco nani anahusika na nini na mafundi wao wapewe vitamburisho vitakavyo weza kufanya watu kuwatambua wafanyakazi wa TANESCO bila shida
 
Kukubali hii position bila masharti ni tamaa.

Maamuzi yote yanatoka juu lakini lawama zinaishia kwako
 
..nchi hii bana, huyu mboma katafuna mafweza kibao na ni fisadi mkuu tangu machimbo n.k...miradi yake mingi anashirikiana na wafanyabiashara flan flan na yule askof mkuu msanii...
Sasa meremeta yao wamejichotea na bado kwenye bodi tena...???
uswahiliana sijui utaisha lini kha !!

Ukisoma Mwanahalisi....oh sorry.. Mawio la last week linaeleza kuwa huyu jamaa yupo katika mgogoro na mwenyekiti wa bodi ya Tanesco Jenerali mst Robert mboma ambapo mboma anasema jamaa anatakiwa kuachia ngazi lakini anatetewa na katibu mkuu wa nishati bw maswi. Tafuta Mawio la last week lina habari ya kina ya huyu mtu
 
Ukisoma Mwanahalisi....oh sorry.. Mawio la last week linaeleza kuwa huyu jamaa yupo katika mgogoro na mwenyekiti wa bodi ya Tanesco Jenerali mst Robert mboma ambapo mboma anasema jamaa anatakiwa kuachia ngazi lakini anatetewa na katibu mkuu wa nishati bw maswi. Tafuta Mawio la last week lina habari ya kina ya huyu mtu

Kama huyu jamaa aliyeteuliwa hapendwi na Mstaafu Gen.Mboma basi atakuwa mtu safi kwani huyu mzee askari mstaafu ni fisadi aliyekubuhu sana; mahela yote aliyokwapua akiwa jeshini ameficha Uswisi na wakina Kikwete wanaogopa kuyarudisha!!! Mboma ni zaidi ya yule aliyepelekwa kuwa balozi China kwa ufisadi!!!!
 
Huyu Eng. Mramba ni mtu makini na asiyehongeka kirahisi (kwa kumbukumbu zangu za nyuma.). Nina furahi kusikia kwamba hata Eng. boniface njombe ni mtu wa kaliba hiyo hiyo. Labda jambo la kujiuliza hapa ni , Je hawa watu wataruhusiwa kufanyakazi kwa kuzingatia weledi wao? Je hawa watu watawezeshwa kufikia malengo ya shirika? Ningeomba yeyote mwenye taarifa za zaidi kuhusu huyu Eng. Mramba aziweke hapa.

Back
Top Bottom