Rais Kikwete jana akizindua ujenzi wa daraja la Kigamboni aliwataka wapinzani wajifunze utamaduni wa kusifu yale mazuri yaliyofanywa na serikali ya CCM ili nao wakipata madaraka wafanye mara tatu maana ni lazima wataendeleza pale alipoishia yeye.
Naye Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli akikubaliana na utabiri huo wa Rais alisema kuwa wanataka uzinduzi ufanywe na Rais Kikwete ili Rais mwingine ajaye asije kujivunia mafanikio hayo awe ametoka CCM au upinzani kwani fedha za ujenzi zimetafutwa na serikali ya awamu ya nne.
Wana JF je tunaweza kubashiri kuwa sasa serikali ya CCM imekubali yaishe? TAFAKARI!
Anajua anachokizungumza maana katika watu wenye ufahamu wa mambo ya ndani nchini kwetu na most informed person ni yeye....Anajua kwa 90% mpaka sasa CDM inachukua nchi na kwakua si mpenda mabavu anawaandaa wenzake ma-conservatives wakubali tu yaishe asije ishia kwenda the Hague na kuishi miserable life katika uzee wake....
Mheshimiwa Rais Taifa hili litakukumbuka kama utakubali kufanya smooth transition usije ruhusu wenye uchu wa madaraka wakakuchuza na mwisho laana kukuangukia ww wakati wao wakiwa wana starehe na familia zao...
Kuliko JK ampe Nchi Lowasa, heri amkabidhi nchi zito. Anamkubali zaidi zito siyo Dr Slaa.
Rais Kikwete jana akizindua ujenzi wa daraja la Kigamboni aliwataka wapinzani wajifunze utamaduni wa kusifu yale mazuri yaliyofanywa na serikali ya CCM ili nao wakipata madaraka wafanye mara tatu maana ni lazima wataendeleza pale alipoishia yeye.
Naye Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli akikubaliana na utabiri huo wa Rais alisema kuwa wanataka uzinduzi ufanywe na Rais Kikwete ili Rais mwingine ajaye asije kujivunia mafanikio hayo awe ametoka CCM au upinzani kwani fedha za ujenzi zimetafutwa na serikali ya awamu ya nne.
Wana JF je tunaweza kubashiri kuwa sasa serikali ya CCM imekubali yaishe? TAFAKARI!
Siyo longo longo hata kwenye tv tulimwona,tena atupishe harakaAcha longolongo wewe!!! Hajasema hivyo, hayo umeongezea wewe tu.
Rais Kikwete jana akizindua ujenzi wa daraja la Kigamboni aliwataka wapinzani wajifunze utamaduni wa kusifu yale mazuri yaliyofanywa na serikali ya CCM ili nao wakipata madaraka wafanye mara tatu maana ni lazima wataendeleza pale alipoishia yeye.
Naye Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli akikubaliana na utabiri huo wa Rais alisema kuwa wanataka uzinduzi ufanywe na Rais Kikwete ili Rais mwingine ajaye asije kujivunia mafanikio hayo awe ametoka CCM au upinzani kwani fedha za ujenzi zimetafutwa na serikali ya awamu ya nne.
Wana JF je tunaweza kubashiri kuwa sasa serikali ya CCM imekubali yaishe? TAFAKARI!
Ni kitu obvious kuwa CDM wanaichukua hii nchi...JK katazama alama za nyakati.
amesemaje sasa?Acha longolongo wewe!!! Hajasema hivyo, hayo umeongezea wewe tu.
Kuliko JK ampe Nchi Lowasa, heri amkabidhi nchi zito. Anamkubali zaidi zito siyo Dr Slaa.[ni yeye anayechagua rais au ni wananch?
Ni mtazamo wako!
Ni kweli kabisa, vyombo vya habari, vimemquote, akitamka hayo maneno. Mimi nadhani Usalama wa Taifa, wameshamhint, kuwa hiyo M4C, iliyowashwa na CDM,na kusambaa nchi nzima, hamna jinsi yeyote ya CCM,kuizuia na kushinda kwenye uchaguzi ujao, hata kama watasaidiwa na washirika wao Polisi na msajili wao Tendwa, sasa ameona akubali yaishe, kwa kuwaandaa kisaikolojia, hasa wana CCM, wafadhihina, ili wajiandae kuikabidhi nchi kwa Chadema, mwaka 2O15!!Acha longolongo wewe!!! Hajasema hivyo, hayo umeongezea wewe tu.
Nadhani atakuwa anaanza kutumia busara, kwa kuwa njia peke yake ya kuepuka yeye na genge lake la magamba kutopelekwa the Hague, ni kukubali matakwa ya wananchi watakayosema kwenye sanduku la kura 2015, lakini akijifanya mkaidi na kuwatumia kina Mwema, Chagonja na Kamuhanda wake, atakuwa anajitafutia trip ya chapu chapu ya kwenda the Hague. Naamini hapendi yaliyomtokea mwenzake Charles Taylor!!Rais Kikwete jana akizindua ujenzi wa daraja la Kigamboni aliwataka wapinzani wajifunze utamaduni wa kusifu yale mazuri yaliyofanywa na serikali ya CCM ili nao wakipata madaraka wafanye mara tatu maana ni lazima wataendeleza pale alipoishia yeye.
Naye Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli akikubaliana na utabiri huo wa Rais alisema kuwa wanataka uzinduzi ufanywe na Rais Kikwete ili Rais mwingine ajaye asije kujivunia mafanikio hayo awe ametoka CCM au upinzani kwani fedha za ujenzi zimetafutwa na serikali ya awamu ya nne.
Wana JF je tunaweza kubashiri kuwa sasa serikali ya CCM imekubali yaishe? TAFAKARI!
CCM kwa heri na ufe salama
Kama usemayo ni kweli basi si jambo baya. Ila huyu Magafuli na mdomo wake usio na breki huwa mara nyingine anaboa sana.
Ila naungana nao kuukubali ukweli wa kuwa awamu ijayo ya utawala haitakuwa ya CCM bali CHADEMA. Waonyeshe kwa vitendo ukubali wao huo!!!!