Jk apunguza idadi ya maofisa anaosafiri nao nje!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
katika mwendelezo wa kufuata sera za upinzani,jk kwa sasa amepunguza maofisa anaosafiri nao nje kufikia 34 kwa safari.hayo yalisemwa na waziri membe.source gazeti habarileo la leo
 
Wanaojua watuambie kabla ya kupunguza msafara wake ulikuwa na wastani wa watu wangapi?
 
katika mwendelezo wa kufuata sera za upinzani,jk kwa sasa amepunguza maofisa anaosafiri nao nje kufikia 34 kwa safari.hayo yalisemwa na waziri membe.source gazeti habarileo la leo

Na mkewe apunguze ....................
Na riz apunguze................
 
mie nilidhani kaacha safari za nje zisizo za razima kumbe anaendelea ila kapunguza tu timu yake. grrrrrrrrr upupu mtupu!!!!!
 
Kimsingi ni jambo la busara, kwan msafara ulikuwa unahujumu rasimali za watz!
 
katika mwendelezo wa kufuata sera za upinzani,jk kwa sasa amepunguza maofisa anaosafiri nao nje kufikia 34 kwa safari.hayo yalisemwa na waziri membe.source gazeti habarileo la leo

stupid!!!!!!!!....kwa uchumi gani tulio nao? I thought ni watu sita au tisa tu, including yeye, mkewe na bodyguard. How nuts!!
 
Kweli huyu mtu ni sikio la kufa, miaka yote leo ndio anasikia, hata hao 34 bado ni wengi kwa taifa masikini lililo katika giza kama Tanzania, cha msingi angepunguzu kwa asilimia 99 kabisa hizo safari na kushughulikia matatizo ya msingi yanalolikumba taifa letu, ye kila siku kiguu na njia
 
Nahisi zile sera za CHADEMA anaanza kuzifanyia kazi! Na bado ile bajeti ya vitafunwa kule ikulu anatakiwa aipunguze pia.
 
Tunataka apunguze safari za nje mara3 ya ilivyo sasa...ama bado viposho vinamsumbua
 
ivi si kuna ile technolojia ya kuongea live mkiwa mnaonana kwenye screen kubwa..! kwanini asiwe anatumia hiyo angalau apunguze kusafiri, lakini kama ni swala la kuhudhuria birthday, party ndo aende lakini sioni hao maafisa 34 wanaenda kufanya nini na yeye kwenye birthday party! inabidi kuwe na ubunifu kidogo sio kila kitu kutumia tu kwa sababu anajua ndege ipo na mafuta yapo na hakuna wa kumshtaki na kumhoji.

Thats not fair kwa maskini wa Tz
 
katika mwendelezo wa kufuata sera za upinzani,jk kwa sasa amepunguza maofisa anaosafiri nao nje kufikia 34 kwa safari.hayo yalisemwa na waziri membe.source gazeti habarileo la leo

34 bado ni wengi sana!
Angekuwa anaruka na Airforce One nahisi trip moja angekuwa na watu 400
 
Back
Top Bottom