JK apigiwa magoti na Foreign Minister wa Malawi!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
jk.JPG
 
Unaweza kuta ni salamu si unajua watu wa kusini/Mbeya/Kyela/Malawi
 
JK umri umeenda sio mbaya kupewa hiyo hishma na huyo mama. Ndio uafrika huo.
 
Si mbaya raisi akipewa heshima yake nchi jirani manake hapa bongo keshaipoteza kitambo...hadi anafikia kuzomewa na wananchi, watu kutoka nje akihutubia, msafara kupigwa mawe na kuitwa mchakachuaji wa kura. Heshima kwake hapa TZ kweishney. Haamini kama bado kuna watu wanamheshimu kama huyu mama hapo.......
 
Kuwa FISADI kwenye nchi ya Nyerere ilikuwa ni issue, sasa yeye ni bonge la Fisadi kwa vile Nyerere katangulia na wenyenchi tunabaki kujadili mitaani bila ku-take action. So lazima amuheshimu mtu mmoja kuibia watu zaidi milioni 40 na wakamrudisha madarakani
 
huu ni utumwa wa kiafrica SIONI sababu yoyoteya mwanamke WA KIAFRICA kumpigia mtu yoyote magoti. NASEMA HUU NI UTUMWA NA IBABIDI UKEMEWE
 
huu ni utumwa wa kiafrica SIONI sababu yoyoteya mwanamke WA KIAFRICA kumpigia mtu yoyote magoti. NASEMA HUU NI UTUMWA NA IBABIDI UKEMEWE

Ni kweli nimekupa thanx.

Halafu jamaa anafurahia kuabudiwa nini?
 
si kuabudiwa, ni vitu vya kawaida na vinaleta raha katika jamii. kwani huyo mama anapungukiwa na nini kwa kumpigie magoti mzee mkwere. Hiyo ndoo africa. I love africa.
 
si kuabudiwa, ni vitu vya kawaida na vinaleta raha katika jamii. kwani huyo mama anapungukiwa na nini kwa kumpigie magoti mzee mkwere. Hiyo ndoo africa. I love africa.
anajidhalilisha tena sana. kwa hiyo ww mtu akikutukana matusi ya nguoni hupungukiwi na kitu sio?
 
Huku malawi hiyo kawaida tu watu wa huku wananidhamu ya owoga kwale huku hata mfanyakazi hawezi kuongea na boss wake akiwa amesimama hata boss wake awe mdogo ndo walivyo watu wa huku!
hadi wanaume? au ni wanwake tu?
 
anajidhalilisha tena sana. kwa hiyo ww mtu akikutukana matusi ya nguoni hupungukiwi na kitu sio?

Nani kakwambia hayo ni matusi ya nguoni. kama yeye anafurahia anacho kifanya si ndio jambo la msingi. Kwani mkwere ndio aliye mwomba hicho kitu??. Hapungukiwi chochote zaidi ya kuwa mfano kwa wanawake wa jamii yake.
 
Hapo umesema, najua makabila hata hapa tanzania, mwanamke anapiga magoti hata kwa kijana wa kiume aliye mzidi umri.
huo ndio utumwa wenyewe ninaoupinga .....kuna haja gani ya mwanamke kupigia mwanaume magoti? si kama ukeketaji tu huu?
 
Back
Top Bottom