masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Mkuu kwa political and diplomatic clout hatuwezi kuwa sawa na Burundi.
Tatizo letu ni sawa na la Goodluck Jonathan (Nigeria), vile vile Third Row, ambaye Boko Haram wanamwendesha.
Tatizo langu ni JK kwenda huko wakati hana contribution ya maana, san sana ni kufikisha quorum kazi ambayo ingeweza kufanywa vizuri sana na Waziri Membe.
Du, we mkuu umeanalyse situation spot on.
Nimesoma Hilo gazeti na maoni haya yanashabihiana kabisa na comments za mwenye gazeti la East African la Leo.
Sijui Mzee JK na wasaidizi wake wanayapitia ?