laptop yenyewe hawezi kutumia ataweza ipad huyu..kwanza kutumia mac OS hawezi...yeye ni kuchat kwa meseji kwenye nokia yake N95 ndo anaweza
ajiunge na mwenzake huyu....hahahaha! Sasa sijui kama ikulu nao wanaweza kutumia ipad! Kazi kweli kweli!
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake ilivyokuwa...
Source: Majira
My Intake
Wadau wa JF mnatoa ushauri gani ili mpendwa rais wetu aweze kurudi nyumbani??,-
kwa sababu hii volcano inasemekana inaweza kuendelea zaidi ya miezi miwili,
A- Apande meli
B-Aombe serekali ya US imuazime AIR FORCE 1 or 2
C- Atumie ndege ya Jeshi
D-Helcopter
E-...........
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?
ndege ya rais ni gulfstream 550 ina uwezo wa kwenda juu futi 51000 na endurance ya masaa 14, isitoshe sio lazima apitie njia hiyo, ukiangalia ramani hata wewe utapata altenative ya njia nyingine. Kwa mtazamo wangu sidhani kama amekwama kwa ajili hiyo
Atumie nafasi hii kupima afya ya mwili na akili, we still need him for the next 5 years.....lol!
- Mkuu heshima sana, the dataz ni kwamba Muungwana ameondoka leo asubuhi kama ziara yake ilivyokuwa imepangwa, yaani aondoke leo asubuhi na Emirates.
- Ziara yake ilikuwa imepangwa kuisha jana usiku kwa interviews za media na hafla ya chakula cha usiku, na leo asubuhi ndiyo aondoke kurejea home, and he did it!
Thanks and Later bin Out!
FMEs!
ajiunge na mwenzake huyu....hahahaha! Sasa sijui kama ikulu nao wanaweza kutumia ipad! Kazi kweli kweli!
Apigwe picha na nani labda Michuzi maana waandishi wa huko wanaona kuwepo kwake huko wala si habari.mwenzake amepigwa picha anatumia iPOD .....yeye huko alipo akipigwa picha atakuwa anatumia nini...pata picha!!
Kwa sisi tuliosoma marekani, hii ni lugha yetu ya kawaida Masanilo, good job keep it up.masanilo you are also a mother fucker coz you have fucken my posts.
Atumie nafasi hii kupima afya ya mwili na akili, we still need him for the next 5 years.....lol!
Maybe we nd'o bado unamuhitaji. Aaghhh!! Anantia hata kichefu chefu. Sijawahi kuona viongozi wa kiafrica wenye uroho kama wa TZ?! hawana hata hiyana, kucha kuwaibia tu wanyonge! WABINAFSIIII.... nd'o maana waafrica tutabaki kuwa maskini milele.