cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 499
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?
abaki HUKO HUKO NGAPULILA WETU
lkn mbona tuna wajomba kaka na hata baba zetu wengi tu wanafanya hii kazi ya kutawaza vikongwe ughaibuni sbb hapa nyumbani maisha yanakuwa magumu kila siku na ile ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania ni kitendawili.Nyange una uhuru wa kutoa maoni lakini siyo uhuru wa kutukana. Kama ningekuwa Mod leo ningekupiga ban ya kama siku 14 ukatafakari jinsi ya kuandika. Ukinzingatia kuwa huyu unayemsena ni Rais wa nchi.
Tunahitajika kukosoa au tuna hiari ya kumpenda mtu ila hatuna hiari katika suala la ustaarabu. Just close you eye and think if that person was your father (acha tukuwa rais wa nch)!
lkn mbona tuna wajomba kaka na hata baba zetu wengi tu wanafanya hii kazi ya kutawaza vikongwe ughaibuni sbb hapa nyumbani maisha yanakuwa magumu kila siku na ile ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania ni kitendawili.
mi natamani ingewezekana akapangiwa kupiga box labda angejifunza kitu juu ya shida za watanzania!
Dark CityCheusi,
Sidhani kama nimesema kuwa hiyo kazi haifanywi na watu. Nilichoaamisha na ninachopinga ni matumizi ya lugha yanayolenga kumdhalilisha mtu. Naamini Nyange alitaka kumshushia hadhi JK, kitu ambacho siyo ustaarabu hata kidogo!
nimekuelewa my broda,lkn sidhani kama ametukanwa bali nyange ameonesha tu ni kiasi gani hana hamu na huyu mr prezdaaa!ni vizuri watu waongee yanayowakera moyoni ili hawa viongozi wajue kuwa watanzania wameshapoteza uvumilivu.Cheusi,
Sidhani kama nimesema kuwa hiyo kazi haifanywi na watu. Nilichoaamisha na ninachopinga ni matumizi ya lugha yanayolenga kumdhalilisha mtu. Naamini Nyange alitaka kumshushia hadhi JK, kitu ambacho siyo ustaarabu hata kidogo!
akagombee hata udiwani wa california sisi tubaki na mtikila wetu hapa
bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?
nimekuelewa my broda,lkn sidhani kama ametukanwa bali nyange ameonesha tu ni kiasi gani hana hamu na huyu mr prezdaaa!ni vizuri watu waongee yanayowakera moyoni ili hawa viongozi wajue kuwa watanzania wameshapoteza uvumilivu.
Mwambie!!!!!!! kwani kila mtu akifuatilia tangu ukiwa mtoto mpaka una pata ajira ya kueleweka, kazi zoote ulizofanya ukikumbuka si zipo kama hizo? Mfano Nesi Hosp, mgonjwa akitapika anafanyaje? 'KAZI NDO MSINGI WA MAENDELEO' ndo maana habanduki huko, na kama anabishi awaulize wanao ishi majuu kazi zao ni zipi?
chonde chonde punguza ukali wa maneno
Kwa vyovyote vile JK ni Rais wa nchi yetu na tupende tusipende kama waungwana tunawajibika kumpa heshima yake. Bila shaka watu wa nchi zingine wanatushangaa kusoma jinsi tunavyoweza kutumia lugha chafu na za kejeli kwa Rais wa nchi yetu. JK pamoja na mapungufu yote tunayoweza kuyaona, yeye bado atakuwa ni Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuwe wastaarabu kidogo hata kama tunadhani ameshindwa kazi!
Kama Watanzania waungwana tuliolelewa katika misingi ya utu, upendo na mshikamano, tumuombee arejee salama nyumbani.