Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake ilivyokuwa...
Source: Majira
My Intake
Wadau wa JF mnatoa ushauri gani ili mpendwa rais wetu aweze kurudi nyumbani??,-
kwa sababu hii volcano inasemekana inaweza kuendelea zaidi ya miezi miwili,
A- Apande meli
B-Aombe serekali ya US imuazime AIR FORCE 1 or 2
C- Atumie ndege ya Jeshi
D-Helcopter
E-...........

Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?
Ha ha haaaaaaaaa! NO HURRY IN AFRICA....Naamini Mkuu atakuwa kafurahi sana hii milipuko kutokea yeye akiwa matembezini Marekani, hii ni sababu tosha ya ku extend na kuhalalisha kuendelea kukaa US.
Kwa mtu mwingine makini au angalau mwenye wasaidizi makini , ange fly straight mpaka nyumbani, given uwezo wa ndege tuliyomnunulia kwa inflated prices mpaka tukaambiwa ikibidi tule majani hili gulfstream itue bongo.
Mwacheni jamaa aendelee kula bata marekani, wakati huku tanzania wana wa nchi tunateketea na maradhi ya kipindupindu na malaria katika karne ya 21!!
Worry not Mr. Prez, you will still be voted in!!
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?
Hana lolote huyo, simple Australia - South Africa then Bongo kwa mama ntilie.