GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
jamani Julius Nyerere alitunikiwa shahada nyingi sana za udaktari wa heshima wa falsafa (zaidi ya 20). Mkapa nanye hivyo hivyo. Mwingi naye hivyo hivyo, moja au mbili. Wote hawa hawajitukuza na kujiita Drs. Sijatahi kusikia Dr. Nyerere, au Dr. Mkapa, au Dr. Ali Hassan Mwinyi. Imekuaje kwa JK kujiita Dr. sawa na Dr. Bilal ambaye ameisotea PhD yake??? Pia wapo wanasiasa wengine kina mary nagu, kina mama lwakatare. sii vizuri kutuma elimu feki kama mtaji wa kisiasa.
Tafadhali ikulu na vyombo vya habari hacheni mara moja kumwita kikwete Dr pamoja na wanasiasa wengine, wakitaka waende darasani kama Dr. Magufuli, mnaharibu maana na dhamani halisi ya elimu. This is too dangerous for the young nation such as ours
Ww sio mtanzania na waonyesha hata kiswahili chetu hukijui vizuri, tuache watanzania tumwite rais wetu tunavyopenda ! acha wivu wa kike