JK anaharibu hadhi ya elimu kwa kujiita Dr. wakati siyo, pamoja na wanasiasa wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anaharibu hadhi ya elimu kwa kujiita Dr. wakati siyo, pamoja na wanasiasa wengine

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mabadilikosasa, May 29, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani Julius Nyerere alitunikiwa shahada nyingi sana za udaktari wa heshima wa falsafa (zaidi ya 20), Mkapa nanye hivyo hivyo, Mwinyi naye hivyo hivyo, moja au mbili.

  Wote hawa hawajitukuza na kujiita Drs. Sijawahi kusikia Dr. Nyerere, au Dr. Mkapa, au Dr. Ali Hassan Mwinyi.

  Imekuaje kwa JK kujiita Dr. sawa na Dr. Bilal ambaye ameisotea PhD yake? Pia wapo wanasiasa wengine kina Mary Nagu, kina mama Lwakatare. Si vizuri kutumia elimu feki kama mtaji wa kisiasa.

  Tafadhali Ikulu na vyombo vya habari acheni mara moja kumwita Kikwete Dr pamoja na wanasiasa wengine, wakitaka waende darasani kama Dr. Magufuli.

  Mnaharibu maana na dhamani halisi ya elimu.

  This is too dangerous for the young Nation such as ours.
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Nakwazika sana hata kama nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikisikia tu dr jm kikwete,huzima tv. Kikwete sio dr hajawahi kusomea duniani popote pale na hata some kamwe labda akiwa ahela.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Acha Wivu ... Uliza Uambiwe kwa nini anaitwa Dr, Jakaya Mrisho Kikwete..
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi anajiita au anaitwa?
   
 5. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  phd ya heshima wandugu. Tusiwe tunakosoa hadi inakuwa km chuki isiyo na msingi. Unles tuna question waliompa, jk ana phd ya/za heshma kama wengine walivo nazo
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Si ndio hapo anadhani mtu anaweza akajiita tu kama wale waganga wa kienyeji .. jk Alipewa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk.Harris Mule kutokana na mchango wake na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya uliozuka baada ya uchaguzi.  [​IMG]
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tuanzishe utaratibu au hata Sheria kuwa mtu ataitwa Dr pale tu atakapokuwa na elimu ya PhD au Dr.as in law etc au Udaktari wa binadamu,meno au wanyama.Nje ya hapo isiruhusiwe kwa yeyote kutumia title ya Dr. hata kama amepewa hizo Honoris Causa.Vinginevyo hadhi ya hii title itachuja na haitakuwa na maana tena kusotea darasani.Imagine Dr Augustine Lyatonga Mrema!
   
 8. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  PhD siyo kuvalishwa kofia au siyo Kofia. Mtu yeyote anaweza kuvalishwa kofia. PhD unatakiwa uwe umeandika thesis inayotambulika na kuwa na mchango unaotambulika duniani kote. Mchango wa degree ya heshima huwa unatambuliwa na chuo husika tuu, na wala siyo vyuo vyote duniani. Ni utashi wa chuo husika tuu, na wala siyo mchango wa kitaaluma unaoweza kutambulika dunia nzima
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kinawauma kweli kuona anaitwa Dr mbona siyo ishu kwake ni lini ulimsikia anajiita Dr zaidi ni wajinga wajinga tu ndiyo wanajikomba na kujipendekeza kujidadavua kujipakinushi na kimbelembele chao kwa kudhani atawapa fadhila maza fanta
   
 10. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mwambieni pia na Dr. Slaa
   
 11. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  phd siyo kofia au kuvalishwa kofia. Kama rais wa nchi anatakiwa kuwa kiongozi bora. Kujiita kwake dr. Ni kuliangamiza taifa kwa ujinga...sasa dr inakua siasa kila mtu anataka kujiita dr kwa maslahi binafsi ya kisiasa. Nadhani urais unaweza kumpatia tuu heshima ili miradi awe mchapakazi
   
 12. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mbona obama au cameron hawajapewa hizo phd za heshima? Kwa nini ni viongozi wa afrika tuu....ni namna ya kupumbaza wajinga wa africa...kila sasa dr. dir........kutafuta kuabudiwa wakati haustahili!! Kikwete hana hata masters...ya nini kujiita Dr. atafute kufundisha chuo chochote duniani na hiyo phd yake feki kama atapata
   
 13. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Marekani ,Maseneta na Reps wengi wana Juris Doctor ya Law ,lakini hata siku moja huwezi ukasikia anajiita Dr.

  Hata Dr Slaa sio vizuri kujiita DR in my opinion.

  UK for instance dactari wa mifugo,hajiiti dr kama Tanzania!
  Wanaitwa VET.

  UOZO wa PHD na kujiita DR uko Tanzania tu
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Jibuni swali. Anajiita au anaitwa?
   
 15. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  WIVU NI SEHEMU YA KUTOKUWA NA BUSARA; yeye kapata Dr. wa Heshima, acha kuwa na chuki binafsi na RAIS wako. Wapo wengi Dr. Mrema, Dr. Majimarefu, Dr. Kifimbo nk.
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Anaitwa Mhe. Kanali Mstaafu, Dr. (Heshima - UDOM & Uturuki University) Jakaya Mrisho Kiwete.
   
 17. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hili ni swala la kitaifa. weka ukereketwa wako pembeni. tumia akili vizuri na tazama swala hili kwa utaifa zaidi. Ondoa mawazo ya ki ccm au ki CDM, ki CUF. Tazama swala hili kama msomi na mtu mzalendo. Kama rais na kiongozi wa nchi ktk jamii haifai kabisa kujiita Dr. wakati siyo. Tutamdharau sana sisi tuonajua maana ya Dr ni nini?? Kwa maana nyingine PhD holders wote wa tanzania tutamdharau maana anatumia siasa ili apate cheo ambao hastahili. Hii ni namna nyingine ya Ufisadi. Kutafuta heshima na dhamani kisiasa kwa kutumia kiwango cha elimu ambacho huna.
   
 18. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  We mmakonde chi ntu, acha hiizo, hapa TZ usilete ya US akina Dr. Lyatonga Mrema tutaziidi kuwaita tu ilimradi hawavunji kifungu chochote cha KATIBA
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wivu wakijinga na uvivu wakufikiria. Lete mada zamaana humu, udokta wa Rais kikwete unakuwasha nini wewe *****. Acha ushamba. we want constructive tipics here.
   
 20. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuanzisha kikwete na hao wengine wote ....wapigwe marufuku kujiita Dr................wasichukulia ujinga wa watanzania wengi kuchafua elimu nchini
   
Loading...