JK ana hali mbaya sana ...

Jamani tufanyeje ndo mzigo wetu huu tubebe maana kila mtu atabeba msalaba wake huyu jk ni msalaba wetu
 
Walikuwa wnapima upepo kwanza toka watoe hukumu ya kushindwa wanaharakati mwezi haujapita walivyoona wimbo wa chadema kuhusu dowans umepoa na wakapima wakaona kazi yetu wananchi kuendesha maisha kwa matukio sasa tuko Igunga na kesi ya lema Arusha hukumu imetoka halafu maadamu Sanare anatumia propaganda za kiromania anasema nitawashauri Tanesco waapeal wapi na wapi Dowans Symbion kesi ya wanaharakati Kutupwa aibu Kubwa kwa akina Mwakyembe,Sitta Dr Slaa kazi yao kubwabwaja bwaja tuu huku wananchi nasi tukiwapungia upepo ndipo mutakapojua Rostam ni nani nchi hii anaweza akamua nani wakwenda Igunga na nani wakutokwenda ,Kukomba fedha za wananchi hata kama si mbunge
KIKWETE atazikwa kaburi lililojaa siafu ili wale hata mfupa wake manake asije akarudi tena nchi hii na kina chake labda kitakuwa futi 500 kwenda chini
udini yeye
Umaskini yeye
Ujambazi yeye
Ufitini yeye
Visasi yeye
uzururaji yeye
Kuyumbisha nchi yeye
Hivi anajidai nini yaani sisi wato milion 42,000,009 wote ni madondocha katushinda mtu mmoja kumpuzisha duu wajukuu zetu watakuja kuchapa makaburi yetu
 
Hizi ni siasa uchwara ngoja nijiuzuru uheshimiwa halafu naenda kujipumzikia zangu Uswisi ili nikirudi nije nilipwe hela yangu ya dowans kiulaini kwani nikibaki kwenye nyadhifa zangu kwenye chama changu cha magamba naweza kuundiwe zengwe na kusemwa kwenye vikao ili nisichukue vijisenti vyangu kutoka Tanesco,najua kuna watu watalia na kuzimia kwa kuondoka kwangu,nawahurumia kwani wao wanaona hapo walipo tu wakati mwenzao naona mbali,MIJINGA NDIO ILIWAYO
 
hili la dowans wananchi wanaweza wasi-react sasa hivi lakini lazima litakuja ibuku huko mbeleni, ni sawa sawa na mtu aliye fiwa ambaye anashindwa kulia jambo hilo linapookea lakini baadae jambo hilo lika mgusa
 
Ashakum sio matusi...kweli natamani jeshi lichukue nchi...potelea mbali liwalo na liwe!

akichukua Shimbo mtakuwa mmeruka mkojo na kukanyaga mavi. Tuombe Mungu akabidhi nchi kwa wapinzani kwa amani.
 
JK alimhakikishia Rostam kuwa atashinda kesi ya Dowans ili alipwe fedha atakayofanya kiinua mgongo ndio maana alikubali kujiuzulu na kwenda kuipigia kampeni wenye siasa uchwara.Huyo ndio Rais wetu Mungu atusaidie tuvuke salama kwani ya Libya ni magumu labda ikibidi.
 
kati ya marais waliwahi kuongoza hii nchi huyu kiwete ndio kopo la kutupa... huyu ni wali nazi.....
 
"no way out" ikibidi ntakufa kwa ajili ya taifa langu ila ntaacha historia katika ukombozi kwa taifa langu"
 
...sisi watu milion 42,000,009 wote ni madondocha katushinda mtu mmoja kumpuzisha duu wajukuu zetu watakuja kuchapa makaburi yetu

"no way out" ikibidi ntakufa kwa ajili ya taifa langu ila ntaacha historia katika ukombozi kwa taifa langu"
Msidanganye watu eti mko tayari kufa nyinyi ndio mnajazana kwenye mikutano siku ya kupiga kura hamuonekani,siku ya kuandamana mnapata dharura,kwenye keyboard majasiri shupavu !!!!
 
jk ni janga la taifa,amekuwa kansa ya damu hafai,habebeki ni kama gunia la misumali na sielewi kwa nn anambeba sana ngereja wamekwenda kukopa china 1 bilioni na huku nyumbani wanalipa dowans 111 bilion hii kweli imekaa njema sio fedha zao hizi wanatuzunguka tu,kama tuna pesa hizo 111 bilioni kwa nn tukakope usd 1 bilioni tena kwa sababu hiyo hiyo umeme,hawa watu shule walikwenda kufanya nn?natamani mafisadi na wote wenye nia mbaya na nchi hii waangamie as soon as possible
 
Kuna mtoto alizaliwa Bagamoyo hana kichwa. Watanzania kwa utaalamu wa kushangaza wakafanikiwa kumbandika nazi. Sasa ni Rais.
 
Hapo kwenye red ni 94bil. plus gharama za kesi natakataka nyingine
ambapo ki uhalisia ni
111bil.tsh.

kinachoniuma ni mahakama iliweka masharti ya kuwa DOWANS
hawaruhusiwi kufanya chochote bila ruhusa ya mahakama ila
cha kushangaza wakajiuza kwa SYMBION bila ya ridhaa ya mahakama.
leo hii mahakama hiyo nayo inatoa hukumu dowans ilipwe mimi sielewi
na sipendi kutoamini kama hakuna rushwa au mkono wa mkulu!!

Hata mimi nashangaa sana, yaani umeme hatuna halafu tena tunaenda kulipa watu matapeli bila sababu ya msingi. Ningekuwa mimi nisingekubali kutoa fedha hizo hazina maana ni mzigo usiobebeka.[/QUOTE]


Niwashauri wenye mtazamo kama wako............Unajua Symbion ni nani? waulize CDM wao wamefyata mkia... wameridhia......wewe unakerekwa na nini?.......Rushwa hakuna ila ni mipango tu waliopanga wale wanaoitaka TZ yetu 'MWANAMWALI' .......... Watumishi wote serikali kuu sasahivi wameanza kupewa mikopo inayofikia Milioni 40 isiyo na riba kwa muda wa miaka zaidi ya mitano ili wapende sera za 'MCHUMBIA' 'MWANAMWALI'.......na barua zao zimepigwa muhuri wa SIRI.........IONE TANZANIA YENU NA HILA ZA MCHUMBIA MWANAMWALI...........tumeshaanza kugawanywa.........



sisemi mengi inauma sana wakati mungine nachukia hata wanaolalamika..........sijui iweje.............
 
Dahhh kwa kweli ni full magumashi, akivaa suti alizohongwa na kijana wa kiarabu unaona kweli kiongozi tumepata kumbe hana lolote maskin ya mungu, ubabaishaji mtupu, kuwa na kiongoz wa hivi ni mzigo kwa taifa, yan 2015 ni kama karne kwa watanzania.
..Na huyo Mwarabu kweli amemtusi Kikwete hivi katika vitu vyoooote alivyofikiria kumhonnga akaona ni suti tu?? Mh! Hawa waraabu bana wana mambo mengi sana isije kuwa muonekano wa JK jamaa kavutika nao akaamua kumhonga suti..mh!!
 
Ni bora hata uongozi wa kilanja wa primary uko serious sio wa huyu jamaa...mara mia tungeongozwa hata na Mswati
 
Hata mimi nashangaa sana, yaani umeme hatuna halafu tena tunaenda kulipa watu matapeli bila sababu ya msingi. Ningekuwa mimi nisingekubali kutoa fedha hizo hazina maana ni mzigo usiobebeka.


Niwashauri wenye mtazamo kama wako............Unajua Symbion ni nani? waulize CDM wao wamefyata mkia... wameridhia......wewe unakerekwa na nini?.......Rushwa hakuna ila ni mipango tu waliopanga wale wanaoitaka TZ yetu 'MWANAMWALI' .......... Watumishi wote serikali kuu sasahivi wameanza kupewa mikopo inayofikia Milioni 40 isiyo na riba kwa muda wa miaka zaidi ya mitano ili wapende sera za 'MCHUMBIA' 'MWANAMWALI'.......na barua zao zimepigwa muhuri wa SIRI.........IONE TANZANIA YENU NA HILA ZA MCHUMBIA MWANAMWALI...........tumeshaanza kugawanywa.........



sisemi mengi inauma sana wakati mungine nachukia hata wanaolalamika..........sijui iweje.............[/QUOTE]


kama mods nitawaudhi nipige ban ya milele lakini watanzania wote ni wapuuuuzi tu wanaongea mambo bila kuchukua hatua...Idiot
 
Dahhh kwa kweli ni full magumashi, akivaa suti alizohongwa na kijana wa kiarabu unaona kweli kiongozi tumepata kumbe hana lolote maskin ya mungu, ubabaishaji mtupu, kuwa na kiongoz wa hivi ni mzigo kwa taifa, yan 2015 ni kama karne kwa watanzania.
Kiongozi anayejivunia kuwa suti zake ananunua london sijui duka gani.wakati wanannchi wake wako hoi bin taaban.sijapata ona hii kwa kiongozi anayejali wananchi wake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom