Tanzania 4 Life
Member
- Apr 30, 2012
- 21
- 7
View attachment 54399
Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dsm leo asubuhi.
KUNA WATU WALISEMA AWEZI KUAPISHWA CZ BADO YUPO NJE YA NCHI TENA HOSPITALI.......tembelea issamichuzi.blogspot.com
Haya PRO-CDM semeni sasa, kwani kila kitu kwenu nchi hii ni kibaya, haya leteni maneno yenu ya kifedhuli km kawaida yenu
Kwasababu JK alikataa ombi lakeHuyu mwandosya si alisikika akimuomba kikwete amuache kwa sasa ili aendelee kujiuguza? kulikoni leo anaapa kuwa waziri asiye na ofisi?.
View attachment 54409
hapa mweshimiwa rais dkt.jakaya akimkabidhi nyenzo za kazi waziri mwandosya.
View attachment 54410
rais kikwete akibadilishana mazungumzo na waziri mwandosya mara baada ya kumwapisha hii leo!
ndoto za uraisi kwa huyu jamaa zimeisha aiseee!
View attachment 54399
Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dsm leo asubuhi.