Jk amwapisha waziri mwandosya ikulu hii leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk amwapisha waziri mwandosya ikulu hii leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzania 4 Life, May 22, 2012.

 1. T

  Tanzania 4 Life Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MWANDOSYA.JPG
  Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dsm leo asubuhi.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Haya PRO-CDM semeni sasa, kwani kila kitu kwenu nchi hii ni kibaya, haya leteni maneno yenu ya kifedhuli km kawaida yenu
   
 3. T

  Tanzania 4 Life Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUNA WATU WALISEMA AWEZI KUAPISHWA CZ BADO YUPO NJE YA NCHI TENA HOSPITALI.......tembelea issamichuzi.blogspot.com
   
 4. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Li Inchi linaliwa hili!!!!!!!
  Kulikuwa na ulazima kuwa na waziri wa aina hii ktk kizazi hiki?
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kila lakheri katika utumishi wakoooooo
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ilikuwaje asiapishwe na wenzake
   
 7. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Huyu mwandosya si alisikika akimuomba kikwete amuache kwa sasa ili aendelee kujiuguza? kulikoni leo anaapa kuwa waziri asiye na ofisi?.
   
 8. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  mwand.JPG

  HApa ndio napata uhakika ni kweli MWandosya alitaka kupumzika, alipokataa Waziri Mkuu akaenda kumtembelea nyumbani kama kumbembeleza fulani hivi, na usikute hakuwepo katika kuapishwa wakati ule kwa sababu hii hii, ili kumfurahisha zaidi Rais amemuapisha mwenyewe, just a thought, ila kama kweli amefanyiwa mpaka kupata haya maradhi MALIPO YAPO HAPA HAPA DUNIANI, lazima Binadamu tuamini na kujuwa kuwa ipo siku sote tutaonja MAuti na tutaiacha Dunia hii, na kamwe hatujui wapi tunaelekea ! ashangaa sana watu kuwafanyia wenzao ubaya wa KUPITILIZA kiasi hiki...Mola tusamehe na utuongoze!
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,880
  Trophy Points: 280
  Mbona huyu professor amezeeka au tuseme amechakaa ghafla hivi? nini kinachomsibu huyu mtaalamu wa electronics? Ataweza kweli mikikimikiki ya uwaziri au kama vile hana wizara? nipo very much worried na afya yake!
   
 10. S

  Starn JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwasababu JK alikataa ombi lake
   
 11. T

  Tanzania 4 Life Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  POKEA NYENZO.JPG
  Hapa Mweshimiwa Rais Dkt.Jakaya akimkabidhi Nyenzo za kazi Waziri Mwandosya.


  ZUNGUMZA.JPG
  Rais Kikwete akibadilishana Mazungumzo na Waziri Mwandosya mara baada ya kumwapisha hii leo!
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ndoto za uraisi kwa huyu jamaa zimeisha aiseee!
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  bora maisha!
   
 14. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  hujafa hujaumbika!!!
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  huwezi amini kuwa huyu jamaa alikuwa mpinzani mkubwa sana wa jk,
  ccm wameshakuondoa kwenye ulingo wa wamapambano. your no longer Mwandosya!
   
 16. K

  Kevin.A Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nasikitika sana kumuona Prof. Mwandosya ktk hii hali....Sijui hata ni kwa nini aliingia kwenye siasa!Nakuombea kwa Mola akujalie afya njema na urudi pale mlimani kufundisha...
   
 17. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  kumbuka wewe pia ni binadamu na hujui mungu atakupa mitihani gani katika maisha,hiyo sio sentensi njema hata kidogo,ogopa MUNGU!
   
 18. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Weka udhu maneno yako,kama Ugonjwa ni umauti basi we ni msukule.Ugua Pole Mzee Mwandosya!
   
 19. D

  Dina JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Tetesi zilisikika kuwa Profesa aliomba kupumzika, kama ni kweli kwa nini analazimishwa?

  Anyways, acha zibaki kama tetesi, maana naona anaapishwa!
   
 20. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mungu akurudishie afya yako Prof, bado tunakuhitaji.
   
Loading...