to me hii ya kusema professor hainiingi akilini coz most of them ni wazee wa nadhari na failures, ndio maana profesa mzima anafuga ng'mbe kinondoni au ubungo
nadhani kuna gap ya kujua kwamba usomi na uprofesa ni tofauti na kwa wenzetu waweza ukawa profesa una degree mbili
i dont think tanzania inahitaji maprofessor kwenye sekta ya maendeleo maana wengine wakuna ni profesa wa algebra anapewa wizara ya sayansi, wakati wizara inahitaji strategist na sio bundi au bookworm
akichaguliwa udini acpo chaguliwa hawajasoma wana elimu ya madrasa ndugu zetu hapa hatushindani kula ng****e hapa tunataka m2 anayefaa je huyu hafai
JF kufilia mbali. Inajadiliwa dini na si hoja! Hebu wekeni na bodi memba tuwaone. Ndio maana watu wanaamini JF imekuwa kijiwe cha chuki na majungu.
Mtoa hoja hakuwa na mtazamo wa udini ila mchangiaji mmoja tu na amekemewa vilivyo nadhani ni kibaraka wa CCM
Hapa tunajadili CV na c dini
Hakuna mtu anayeweza kuwagawa watanzania kwa kigezo cha UDINI :A S 465:
Wana Jamii forums tuwe tunatoa hoja na kufanya utafiti wa kina kwa habari tunazorusha hapa;mambo ya tabia za kiswahili tuyapunguze.Mada hii tuiache maana sioni umuhimu wake .Watu wazima mnaanza kujadili upuuzi.Naamini nyote ni wasomi mtakuwa mmenielewa.Sihitaji kuchangia katika hili kwani uelewa umekuwa tofauti kati ya waliochangia mada.
Is Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi a full time job? Kwa maelezo hayo chini inaonyesha Mshoro anahama kuotoka Ardhi University kwenda TIRDO!
gud for him? ardhi wana walimu wa kutosha?[/QUOTE]
mkuu kabla yake alikuwa prof. IDRISSA KIKULA ambae sasa yupo UDOM, huyu nae ni mzanzibar na anashutumiwa kwa kuweka wanzanzibar wengi kwenye admistration, kuanzia alivyokuwa ardhi hadi asaiv UDOM. kaaaaaz kwel kwel.
Acheni majungu Idrisa Kikula ni mtu wa Iringa tena Mbena kama sikosei pia Prof Mshoro kwao Tabora siyo Zanzibar...majungu na udini hausaidii. Mtu apewe nafasi kwa merit ya sifa alizonazo siyo kwa sababu ya dini kama wengi mnavyotaka wana jf
Kama tutaendelea hivi na maswala ya udini basi ni kansa ya aina yake. Nilidhani kitaalauma Prof. Idrissa Bilali Mshoro amekuwa ni chaguo sahihi, sasa kurukia udini ni jambo la kushangaza. JF msiwe jamvi la poor thinking, na simple minds.
Anaendelea kuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi; uenyekiti wa Bodi sio full time position.
Nawakilisha.
haya ma upuuzi ya udini yanachosha kwakweli... Aliyesema urafiki ndio kigezo kikubwa (amepatia sana) lakini kama uwezo ungekuwa unazingatiwa urafiki hau-matter kivile. Nyerere alimuweka shemeji yake warioba kuwa waziri mkuu. Siasa za udini tuwaachie wanigeria huko, sisi nchi yetu ina nafasi zakutosha kukidhi ndoto za wengi tu we nye uwezo. Haiwezekani katika kurusha sarafu ukipata 'bichwa' basi wewe unajipendelea kwasababu nawewe unakichwa, ikipata 'mwenge' (tails) ni sawa kwasababu hamfanani ( the difference here of course being that selecting people for important posts is not like coin tossing but the 50/50 analogy is relevant as far as christianity/islam is concerned). Muacheni rais aweke watu anaowaamini, pale watakapo fanya makosa au ikionekana ni wadhaifu ndio wakosolewe na kuawjibishwa katika jamii, vyombo vya habari, kisiasa na ingekuwa vizuri zaidi kisheria. Udini ni upuuzi tuu kwakuwa mwishoe chenge na lowassa wangetetewa kama kusingekuwa na jina aziz kwenye list ya magamba yaliyotolewa (mfano tuu..facts not withstanding).
Swali la kujiuliza hapa ni kuwa je kuna umuhimu wa hili shirika kuendelea kuwepo?...madhumuni ya kuanzishwa kwake bado yapo?...hizo research za kuendeleza viwanda bado zipo?.........kama hazipo au kama madhumuni yake yamepotea basi ni vema shirika lingevunjwa au kuwezeshwa ili yale malengo yake yatimizwe......hili la kuangalia uteuzi kwa misingi ya dini halina mantiki kwanimtendaji akiwa mbaya aumivu ni kwa wote bila kuchagua dini.
gud for him? ardhi wana walimu wa kutosha?[/QUOTE]
mkuu kabla yake alikuwa prof. IDRISSA KIKULA ambae sasa yupo UDOM, huyu nae ni mzanzibar na anashutumiwa kwa kuweka wanzanzibar wengi kwenye admistration, kuanzia alivyokuwa ardhi hadi asaiv UDOM. kaaaaaz kwel kwel.
jamani hebu acheni ubaguzi akiwa mzanzibar au mnyamwezi mimi naona wote sawa sisi tunachotaka wawe na sifa za kufanya yale majukumu waliyopewa ipasavyo. kuwa dini fulani au kabila fulani nadhani haina maana yyte ktk maendeleo ya nchi yetu.
Na nyie chaguaneni huko CDM, si mmejipanga hata kumsafisha EL?
Swali la kujiuliza hapa ni kuwa je kuna umuhimu wa hili shirika kuendelea kuwepo?...madhumuni ya kuanzishwa kwake bado yapo?...hizo research za kuendeleza viwanda bado zipo?.........kama hazipo au kama madhumuni yake yamepotea basi ni vema shirika lingevunjwa au kuwezeshwa ili yale malengo yake yatimizwe......hili la kuangalia uteuzi kwa misingi ya dini halina mantiki kwanimtendaji akiwa mbaya aumivu ni kwa wote bila kuchagua dini.