JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkeshaji, Apr 20, 2011.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Salaam wanajamvi,
  Habari za uhakika zinasema kuwa Rais Kikwete amemteua Prof. Idrissa Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Utafiti na maendeleo ya viwanda (TIRDO). Uteuzi huo umeanza tangu tarehe 01.04.2011 na utadumu kwa muda wa miaka mitatu.

  Kabla ya hapo Prof. Mshoro alikuwa Makamu mkuu wa chuo cha Ardhi, uteuzi ambao pia ulifanywa na JK mwaka 2007.

  Nawakilisha.
   
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,632
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida, ...
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Upande ule ule wa JK
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,684
  Trophy Points: 280
  Hongereni waislam
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jaman tuacheni kuleta udini bwana.
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mwaka huu tutakoma
   
 7. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu thibitisha udini uko wapi? Mi nimeleta taarifa tu, sasa ya udini yamefikaje?
   
 8. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wa kiislam Tanzania wanahitaji kuthaminiwa na kuona matunda ya miaka 50 ya uhuru wa nchi yao.

  Napendeka wanafunzi wote wa vyuo (waislam na wakristu) wafanye maandamano nchi nzima ya kumpongeza Mh Rais Dr JK kwa uteuzi huu.
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,626
  Likes Received: 1,382
  Trophy Points: 280
  gud for him? ardhi wana walimu wa kutosha?
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tafakari chukua hatua....
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Udini huu utawafikisha pabaya. Ningependa kuuliza Je Prof Idrissa Mshoro hafai kuwa chairman wa TIRDO kwa taaluma yake au dini yake?

  Nakupongeza Prof
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Unaifahamu dini yake?
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ukiitwa Idrisa ni Muislam?

  Kati ya wewe unaelalamika na mh rais nani mdini? jiangalie mwenyewe

  Nyani haoni...
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Upande upi?
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mngejua yanayotokea kwenye level ya utendaji ndio mngekoma, teuzi ni hizohizo
   
 16. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Akichaguliwa udini acpo chaguliwa hawajasoma wana elimu ya madrasa ndugu zetu hapa hatushindani kula ng****e hapa tunataka m2 anayefaa je huyu hafai
   
 17. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  JF kufilia mbali. Inajadiliwa dini na si hoja! Hebu wekeni na bodi memba tuwaone. Ndio maana watu wanaamini JF imekuwa kijiwe cha chuki na majungu.
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama hiyo ndiyo sababu ya kutaka Slaa awe rais wako basi ndugu yangu umepotea!
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  JF kazi tunayo kuondoa fikra za udini miongoni mwetu
   
 20. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Chadema bwana! Yaani nchi hii mnataka iongozwe na wakristo tuu? Mbona hapa ofisni kwangu wakristo ni 95%? Waislamu wakilalamika; mnasema hawakusoma! Wakisoma wakipewa madaraka --oooh udini!

  Haya ngoja Rais awe Padri Slaa mfurahi!
   
Loading...