baba gaston
Member
- Jun 6, 2012
- 7
- 2
Hongera sana Mwambene. Tunakutakia kila la heri kwenye majukumu yako mapya.
ona hata aibu au kwa sababu hatuona usoniElewa nilichosema ' UHURU BILA MIPAKA NI SAWA SAWA NA WENDAWAZIMU' hata hiyo katiba imeweka uhuru huo sio kila kitu , USITUMIE KICHWA KUFUGIA NYWELE TU BALI PIA TUMIA KWA KUFIKIRIA.
kusema kuwa aliyemteka ulimboka ni rama wa ikulu ndiyo kuvuka mipaka hata kama kuna ushahidi?
Nilidhani kwanza serikali ingejitetea dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake kabla ya kuzichukulia hatua walioituhumu serikali!
Wafunge zote, awamu hii hata mawe yatasema!
Ni kwa nini wateule wengi wanatokea Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje, kwa nini tusiskie afisa wa habari wa mkoa wa Katavi au hata Njoruma(sijui iliishia wapi hii ama wabena waliichinjia baharini) ameteuliwa kuwa mkurugenzi kwenye taasisi za Umma au ndo ile ya mwenye nachoo atazidishiwa tu.Jamani itafurahisha na sie wa Simiyu kuja kupata upepo wa Dar
huyu jamaa ndo wale watanzania wanaofadika na maovu ya serikali na kutetea kila mavi ya serikali hata kama hayana msilahi ya umma.mabavu , sheria kandamizi, ubabe, kanuni za kupindisha ndo zinazohamasisha umma kuhoji kulikoni.hakuna nchi inayoweza kwenda kama ilivyo leo.kila mahala vurugu tu.ukiwa mtetea haki unakutana na wauaji kama usalama wa taifa.ukitaka kuamsha umma uelewe unakutana na vibaka wa mtindio wa ubongo wanaotumiwa na nape na serikali dhalimu ya ccm.tuende tutafute msitakabali wa nchi kwa maslahi ya umma na si masilahi ya chama.kila mtu akidai haki kifo, mahakanani, kufungia asifanye kazi , vitisho .kis mipaka ya uhuru kivipi?huku ni kubaka uhuru wa demokrasia kakatika kujenga nchi yenye utawala wa haki ya sheria na utawala bora unaozingatia masilahi ya umma.
For sake of curiosity,ni Arthur au Assah maana naona watu washaanza kutia udini humu.Wana JF
Taarifa nilizonazo ni kwamba JK amemteua Bw. Assah Mwambene, Afisa Habari wa wizara ya mambo ya nje kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO.
Mwambene anachukua nafasi ya Clement Mshana ambaye alikuwa MAELEZO lakini sasa ni mkurugenzi wa TBC aliyechukua nafasi ya Tido Mhando.
For sake of curiosity,ni Arthur au Assah maana naona watu washaanza kutia udini humu.
Ok ahsante sana ndugualafu mbaya zaidi watu wanaye mjua huyo assah mwambene wameifanya statement yake kuwa FALSE! mana kwa nafasi aliyokuwa nayo assah pale foreing si than kama ni rahisi kwa watu wa kawaida kumjua! na hata hiyo anayoenda pia huenda watu wasimjue sana! mana hili jina lenyewe wengi tumelijulia humu jf tena leo
alafu mbaya zaidi watu wanaye mjua huyo assah mwambene wameifanya statement yake kuwa FALSE! mana kwa nafasi aliyokuwa nayo assah pale foreing si than kama ni rahisi kwa watu wa kawaida kumjua! na hata hiyo anayoenda pia huenda watu wasimjue sana! mana hili jina lenyewe wengi tumelijulia humu jf tena leo
Safi sana na JK na hongera sana Mwambene kwa nafasi uliyopata. Tunakuomba usafishe hii sekta ya habari kwani wengi wa waandishi ni makanjanja sio weledi, na uwaeleze kuwa hata habari ina mipaka yake, UHURU BILA MIPAKA NI SAWA SAWA NA WENDAWAZIMU, wasio taka kufuata maadili ya uandishi wafungieni km wakina Kubenea
Yupo, kabadilisha jina hapa JF.Yu wapi Game Theory jamani!!???