JK aliwakwepa Maaskofu Mwanza lakini Msuya....mmmmhhhhhhhhhh...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aliwakwepa Maaskofu Mwanza lakini Msuya....mmmmhhhhhhhhhh......

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Jan 10, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete (wa saba kulia) akipozi katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (kushoto kwa Rais) katika hafla ya kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake. Wengine ni Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (wa nne kulia) na wanafamilia wa Msuya. (Picha na Freddy Maro).
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  JK angelikuwa anawania Uraisi 2015 asingelikosa sherehe ya kumwapisha Askofu Mkuu wa jImbo la Mwanza lakini kwa vile hawanii tena...........aliona ni kheri amtume "TYSON" kwenda kule na kipande cha wosia.......................lakini ili mradi asikose matanuzi ya Cleopa........................................kutimiza miaka 80...............................ama kwa hakika .....it is use and dump policy..............
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,127
  Trophy Points: 280
  Jamaa anapenda pilau huyo.
  Kasikia kwa msuya kuna pilau mbio mbio kakimbilia.
  Arusha kuna misiba wala hajatia unyayo wake
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jmani tumsamehe huyu kiongozi wetu kwa kuwa alishapoteza mwelekeo siku nyingi!!
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Saaizi anataptapa tu na kaamua kulipa fadhiri kwa waislamu wake..............jk feki
   
 6. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jmni sijui mtu atafanya lipi jema! akidelegate power shida,kweli mkubwa jalala!
   
 7. H

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  kwanini na wao wanamwalika, mimi nikiwa na kitu changu cha muhimu, simwaliki jk wala kiongozi yeyote wa ccm....wanini hao? mi nashangaa hata viongozi wengine wa dini wanavyojipendekeza kwa hao watu...
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  wapare bwana! hapo kwenye picha hamna mtoto! wote watuwazima hapo.
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,127
  Trophy Points: 280
  Wakwere je?
   
 10. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Watu wengi humu huwa wanaropoka tu!!!, hawajuwi taratibu za uongozi. Mungu awasamehe kwa kuwa hawajuwi walitendalo!!
   
 11. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  si alijifunza madrasa jinzi ya kuukunja ubwabwa,hana lolote huyo kujichekesha kama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,hivi ingekuwa raisi wa nchi nyingine angefanya kipi kwanza kushugulikia matatizo ama pilau,,
   
 12. W

  We can JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Usiseme amepoteza uelekeo! Kama amepoteza uelekeo, anatuelekeza wapi sasa?
   
 13. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwenye piche hii ni Yupi JOB MSUYA? Namkumbuka miaka ya mid 80s
   
 14. M

  Mkare JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui unataka kusema nini mkuu hapo....!!!!!???????????????
   
 15. M

  MFILIPINO Senior Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alikuwa anaogopa madongo ya maaskofu si unajua maaskofu hawamung'unyi manena, ingekuwa shame kwake kuzodolewa mbele ya kadamnasi akaamua amtume TYSON hata akitukwana poa.
   
 16. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwa mtazamo wake birthday party ni bora kuliko habari ya maaskofu ambao wanafanya mambo ya kumpinga chini chini
   
 17. c

  chelenje JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nn unasema kwa wapare hakuna mtoto?
   
 18. s

  shadhuly Senior Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hapo mambo ya uisilamu yameingiaje?kwani msuya nae ni muislamu?.
   
 19. K

  Karandanya Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uswahiba umekuponza tena sana sasa malipo yake unalala ucgizi nusu unashidwa ata kuongea upo upo tu,ujulikan mbele wap na nyuma wap hakuna uhand some tena umefuria mjomba tehtehteh?
   
 20. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe dampo, inatakiwa umwambie ndugu yako ajue kuyapa kipaumbele mambo mambo mhimu.
   
Loading...