JK aligawa saa 3000 zenye picha yake kwa nini?

JK aligawa saa 3000 zenye picha yake kwa nini?

Wadau baada ya JK kupitishwa maana hakushinda uchaguzi kwa kuwa hakugombea hakuwa na mpinzani , aliamua kugawa saa za mkononi zenye picha yake.Mie niliikataa pamoja na kwamba Mimi ni mwana CCM kwa sikuona sababu na faida ya saa yenyw picha ya Kikwete.Najua kuna wana CCM wenzangu wanazo saa hizo akiwemo Nape naomba msaada wa kujua sababu za ugawaji huo wa saa .Je nayo ni rushwa ambayo JK amaedai kufa nayo na kwa nini saa 3000 pekee na si kwa wajumbe wa mkutano mkuu basi?

Nadhani alikuwa anataka wamuone jinsi alivyo-handsome
 
ndivyo alivyoagizwa na freemasons wenzake.. hebu ichunguzeni kama haina masonic symbols
 

Mangula kasema ataanza ku-deal na waliotoa rushwa ktk uchaguzi wao, mkumbusheni pia aanze na aliyetoa rushwa ya saa

alikua anaropoka tu,namshauri ajenge afya yake apate kusogeza siku,hizi stori za rushwa ambazo kipindi chake akiwa katibu mkuu walikua wanaita takrima aachane nazo!
 
kama sikosei wewe ulishasema ni CHADEMA humu i think ilikua 2010 au 2011

Lini umerudi CCM?? au ndio twanga kotekote??

Mkuu kwanza nthibitisha maneno yako .Again nina kadi 2 so hakuna shida .
 
Back
Top Bottom