CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
Huyu raisi wakati
mwingine anafanya vitu vya ajabu sana. Kulikuwa na ulazima gani wa
kusema uongo wakati anajua kuwa mshahara umeongezwa kwa 7-18%
tu?
Huyu raisi wakati mwingine anafanya vitu vya ajabu sana. Kulikuwa na ulazima gani wa kusema uongo wakati anajua kuwa mshahara umeongezwa kwa 7-18% tu?
Wewe unajua maana ya research au unaongea tu kwa sababu ulishakutana na hiyo nukuu? Hebu tafuta waraka wa utumishi wa Julai 2012 ili uone kati yangu na JK wako nani muongo.Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%
I have a vivid memory, siku anaongelea mgomo wa madaktari, alisema kuwa madaktari wataogezewa mishahara kama wafanyakazi wengine kati ya asilimia 15-20. Sio kweli, ni chini ya hapo tena sana. KUMBE NA MARAIS WANASEMA UONGO!
Tusipomlaumu tumfanyeje? Tuandae maandamano ya kumpongeza?acha kumlaumu raisi bure ndugu,ye mwenyewe hajui
Hapana mkuu. Kwenye mambo nyeti kama mishahara ni makosa makubwa na hatari kuingiza siasa. Rais anatakiwa kulijua hili.kumbe ulikuwa hujui,kama rais nae ni mwanasiasa, sasa ujui kama siasa ni uongo tu.
Hapana mkuu. Kwenye mambo nyeti kama mishahara ni makosa makubwa na hatari kuingiza siasa. Rais anatakiwa kulijua hili.
Halafu TUCTA ambayo inakomba pesa nyingi kutoka kwenye mishahara yetu tena kwa lazima iko kimya. Ipo siku watu wataamua kutembeza bakora kama former DC Mnare!Inawezekana aliongea kitu ambacho hakifahamu, sio kosa lake labda alipotoshwa na wapambe wake.
Wewe unajua maana ya research au unaongea tu kwa sababu ulishakutana na hiyo nukuu? Hebu tafuta waraka wa utumishi wa Julai 2012 ili uone kati yangu na JK wako nani muongo.
Ameongeza kiasi gani na alisema angeongeza nini? Toa data basi uoneshe ushabiki wetu na umakini wako!Wacha ushabiki wako wa vyama jk ameongeza mshahara
Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%