JK akimpa somo Zitto

JK akimpa somo Zitto

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,301
Reaction score
40,930
IMG-20181120-WA0002.jpg
 
Musiba akiiona hii hakawii kusema Jk na Zitto kikao kizito kwenye heading ya kile kigazeti chake
 
Hiyo picha nafikiri Jakaya alienda kumtizama mgonjwa hospital wakakutana na zito
Hii ilikuwa 2014 Rais Jakaya Kikwete alikwenda hospitali ya AMI kumtembelea na kumjulia hali Bi Shida Salum, Mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini- CHADEMA(wakati huo) Mh Mwami Zitto Zuberi Kabwe.

Hakika Jakaya alikuwa Prof wa Siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee anajua siasa na alikuwa mwalimu wa siasa na mbinu za medani TMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa upendo na huruma yake wapinzani walimuita dhaifu na kumpachika kila aina ya kashfa na dharau huku wakiliombea taifa tupate kiongozi dictator.

Sent from my DUB-LX1 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom