Elections 2010 JK agwaya kutaja wabunge wa kuteuliwa?

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.

Mwaka 2005 nafasi nyingi zilikuwa za "kulipa fadhila" mfano: yule zuzu Tom Mwang'onda, Yusuf Makamba, RC Mbeya etc. safari hii uteuzi huu utaonesha kuwa JK ana nia ya kubadirika au ni yule yule tu.
 
Safari hii sio tu kazi ya kutaja wabunge wateule bali kila atakapogusa ni pa moto.
Hakuna mteremko kama 2005.
 
Atawataja leo jioni, wataapioshwa kesho mchana baada ya kumwapishwa Pinda mpya, na atawatangaza mawaziri siku ya Ijumaa saa 4 Asubuhi pale Ikulu Dar es Salaam.
 
JK hana jipya anapangiwa safu ya uongozi kwa maslahi ya mafisadi wachache, tumeshaona kwa spika na naibu wake waliopitishwa na bunge la ccm wiki iliyopita.

mimi sioni jipya ila tukaze buti kwa miaka mitano tena.
 
Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.

Mwaka 2005 nafasi nyingi zilikuwa za "kulipa fadhila" mfano: yule zuzu Tom Mwang'onda, Yusuf Makamba, RC Mbeya etc. safari hii uteuzi huu utaonesha kuwa JK ana nia ya kubadirika au ni yule yule tu.

Hata la PM ameshindwa kuliwakilisha.
 
Wakuteuliwa ni Kngunge Ngombale Mwiru (90 yrs), Yusuph Makamba(80 yrs),Said Said Kalembo(80yrs),Samwel Malechela(80yrs),Zakia Meghji(75yrs) na wengineo kwani hapendi vijana
 
Wakuteuliwa ni Kngunge Ngombale Mwiru (90 yrs), Yusuph Makamba(80 yrs),Said Said Kalembo(80yrs),Samwel Malechela(80yrs),Zakia Meghji(75yrs) na wengineo kwani hapendi vijana

Awamu hii hataki warembo?
 
Nafikiri hana direction,hajui nini anachotakiwa kuacomplish for this five years ahead,hivyo inakuwa vigumu kuchagua.Maana mtu ajuaye afanyalo hana shida kujua huyu atanifikisha niendako.Imagine unaenda Tanga tokea Dar kinachofanyika ni kwenda kituoni ukiwa na tiketi yako katika muda muafaka na kupanda gari ready kwa safari.Hali kadhalika uongozi na hatima ya taifa letu,ukijua where as a nation we are heading hakuna tabu ya kupata viongozi.
 
Back
Top Bottom