JK aenda Uingereza kikazi

Kwani ziara nyingine zinakuwaga za kitalii?au Neno kikazi linapunguza maswali?
 
Update database ya safari zile 322!
Moja wapo ni safari ya jamaica
Bartlett%252520with%252520Jakaya%252520Mrisho%252520Kikwete%252520and%252520wife%252520at%252520Mystic%252520Mountain.jpg
 
Damn It! si juzi tu "magazeti" yalimsemea kuwa ameomba safari zake zipunguzwe ili kubana matumizi ya serikali! Halafu hivi kazi ya Membe ni nini kama yeye siku zote ndio yuko kiguu na njia!
 
Nimesoma kwenye michuzi blog, JK ameenda UK leo asubuhi kwa ziara ya kikazi.

Ni juzi tu nilikuwa najiuliza kama ameshawahi kukaa japo mwezi akiwa ofisini anaangalia files au anasoma vitabu au ku'review' mambo mbalimbali yanayoendelea nchini sikupata jibu.

Vile imeandikiwa ziara siwezi kujua kama ina tija kwa Taifa au ila ifike wakati ambapo ziara zake ziwe zinaratibiwa ili kupunguza matumizi. Nchi yetu ni tajiri lakini inakuwa maskini kwasababu ya kutokuwa na maono na vipaumbele
watanzania tuwe na adabu kidogo.Mkuu wa nchi kenda kutafuta na pia bint anasoma kule na kuna ambaye kamaliza shule anatakiwa atayarishiwe mambo.Pia tukumbuke kuwa alitkea wizara ya mambo ya nje na kusafiri imo ndani ya damu.
 
JK zunguka mwa kwetu, maisha yenyewe mafupi haya, zunguka baba, jinafasi, jiachie angalau tukukumbuke kwa hili.
 
Nimesoma kwenye michuzi blog, JK ameenda UK leo asubuhi kwa ziara ya kikazi.

Ni juzi tu nilikuwa najiuliza kama ameshawahi kukaa japo mwezi akiwa ofisini anaangalia files au anasoma vitabu au ku'review' mambo mbalimbali yanayoendelea nchini sikupata jibu.

Vile imeandikiwa ziara siwezi kujua kama ina tija kwa Taifa au ila ifike wakati ambapo ziara zake ziwe zinaratibiwa ili kupunguza matumizi. Nchi yetu ni tajiri lakini inakuwa maskini kwasababu ya kutokuwa na maono na vipaumbele

Hivi amesahau kuwa kazi zake ziko magogoni na siyo London!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom