JK aelekea kuanguka kama Mubarak wa Misri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK aelekea kuanguka kama Mubarak wa Misri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Apr 12, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Alichokifanya Rais Jakaya Kikwete kufukuza Sekretariat na Kamati Kuu ya CCM ni sawasawa na marais wa zamani wa Tunisia Ben Ali na wa Misri Hosni Mubarak walivyojaribu kufanya katika jitihada zao za mwisho zilizobaki kutaka kubaki madarakani.

  Baada ya kuona wananchi wengi wamepoteza imani na uongozi wao, Ben Ali wa Tunisia na Hosni Mubarak wa Misri walifukuza viongozi wote wa chama na serikali na kuunda timu mpya katika kujaribu kurejesha imani ya wananchi.

  Mbinu hii hutumika katika kuwahadaa wananchi kuwa mabadiliko yamefanywa hivyo waache kushutumu watawala na waendelee na maisha yao kama kawaida.

  Lakini kwa Tunisia na Misri mbinu hizi hazikufua dafu. Wananchi walikataa kuwa majuha na kusema kuwa wanachotaka wao ni kwa utawala mzima kuondoka, ikiwemo Rais.

  Gamba ambalo CCM ilitakiwa kujivua ni la Rais Kikwete pia kama kiongozi mkuu wa chama na mtawala wa nchi.

  Ni dhahiri kuwa mabadiliko haya yaliyofanywa Sekretariat na kwenye kamati kuu ni "cosmetic" tu. Yaani kwa jina lingine ni "artificial" na hayataweza kukidhi matakwa ya wananchi.
   
 2. F

  Fareed JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Former president of Ivory Coast Gbagbo. Just jana tu alikuwa raisi wa kuiba kura na kujiweka. Why not Tanzania?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Lakini kwa kuwa sisi ni wasahaulifu au ni wajinga tutasahau kila kitu, maana mpaka sasa watu wengi eti wanasifia mabadiliko yaliyofanywa ndani ya chama.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huyo pembeni ni mkewe??
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  huyu mama (mkewe)ni mkatili sana hapa anaonekana wazi limemshuka.JUST GOOGLE MUMSOMEE MUTAMCHUKIA ZAIDI
  Hongera france
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ni wazi EL anamsaidia sana JK kuukwaa uraisi
  EL ameidhoofisha serikali
  EL ni bingwa wa kutengeneza mitandao hapa JK sijui atafanyaje

  Nionavyo mimi JK na EL wamekubaliana kuwa hawapendwi so ni bora waanze kumwandaa mwingine aje kuwa raisi.Nahisi Mwinyi Gongolamboto
   
 8. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  who is the next?


   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kweli jamani maisha ni Mlima...............

  Kuna kupanda na kushuka na wala huwezi kuamini ni watu walewale. Kwa nini hakuondoka mapema na kuachia ngazi?

  Angelikuwa kajikalia pembeni na akitunzwa kama RAIS. Jitu zima ovyooooo.......... Namuona Mama fulani na yeye akiwa pembeni.

  Juzijuzi Simone na Raurent Gbagbo walikuwa hivi:
  [​IMG]

  Leo hii wako hivi:
  [​IMG]o
   
 10. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nimemsikia mama Clinton CNN anasema na Wababe wengine wajiandae, aisee huyu Gbagbo anatia huruma kinoma.
   
 11. C

  Chumbageni Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbona bichwa kubwa hivo! nilidhani picha feki...
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sijui kama ni vyema au vibaya, si rahisi yaliyotokea Misri, Tunis, Libya na Ivory Coast kutokea Tanzania, angalau kwa miaka michache ijayo. Na tusiombe iwe hivyo kwani tumeona vifo, ukatili, na matatizo yanayowafika wananchi wa nchi hizo. Kimaumbile sisi ni wavumilivu sana. Wetu tutawaondosha kiamani, tupiganie katiba mpya tu baadaye yote yatakuwa mteremko bila kumwaga damu.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tunaisubiri hiyo cku kwa hamu kubwa. Kama Bagbo na ubabe wote wa kujiweka madarakani kapatikana itakuja kuwa Jk? Hiyo siku itakuwa ya furaha sana kwangu.
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaha! Ungemwona jana tbc1 ungemuhurumia, alikuwa anatoka jasho mwili mzima, akapewa taulo ajifute haikusaidia, ujanja wa bure ni mwoga huyo muone hivyo hivyo. Anatia huruma. MAUJANJA YOTE KWISHA!
   
 15. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hatudanganyiki. Kama hawatosi RA na EL hakuna Gamba lililovuliwa hapo...
   
 16. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ama kweli mfa maji haachi kutapatapa. Watanzania wasidanganyike na danganya toto na mchezo wa kiini macho unaofanywa na CCM wa kufukuzana. Kufukuzana kwa CCM hakutawaoondolea watanzania UMASKINI wa kutisha wakati nchi yetu ina rasilimali za kutosha. CCM haina majibu wala suluhu ya UMASKINI wa WATANZANIA.

  Hao wanaowaita wenzao mafisadi na wenywe wamejilimbikizia mali bila ya aibu. CCM haitufai na imepitwa na wakati. Tunahitaji watu makini kama Dr. Slaa. :yield:
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  WaTanzania msiwe na haraka wala papara.

  Wapeni muda kuangalia wamekusudia nini na nini mikakati yao katika kufanikisha hilo lengo lao.
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Nina hamu ya kusikia mkutano wa hadhara wa ccm kama watawatumia waliojiuzulu kama ndoano ya kuvulia wanachama.
   
 19. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli nimeipenda hotuba fupi ya Hilary Clinton. The transition sends signal to all dictactors and those who disregard the decisions of their own people over the region and around the world. Kweli message sent

  AJE - Al Jazeera English
   
Loading...