JK: Actions needed to end violence against women

Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,014
5,608
JK: Actions needed to end violence against women

President Jakaya Kikwete has said time has come for the adoption of concrete actions in the efforts to end violence against women.
President-Jakaya-Kikwete-pictured-at-Marangu-in-Moshi.jpg

The president made the remarks yesterday when flagging off "The Africa UNITE Climb to End Violence against Women and Girls' in Moshi yesterday, where women from 36 African countries set out to climb to the top of the continent's highest mountain.
The campaign whose slogan is Climb Up, Speak Out has brought together the women representatives signifying Africa's commitment to ending violence against women and girls in the continent.

In addressing gender based violence, Kikwete said policies and legal instruments meant very little without commensurate implementation measures and actions.

"Governments have to walk the talk. We must ensure that our actions speak louder than words. It is required of us to adequately reflect on our national plans, programmes and budget measures to promote gender parity and fight against gender based violence," he stated.
He said Tanzania strongly supports the Secretary General's Campaign on "Say No – UNiTE to End Violence against Women and Girls."
"Violence against women is a pervasive scourge which has been with us for ages," he said, adding that it knows no colour, creed, age, status or nation.

"What brought us here is the fact that we should not allow this cruel and worthless scourge to continue. It is a violation of women's rights of a very high degree. It demeans their personality and humanity," he stressed.
The president said violence against women prevents them from enjoying life and above all their fundamental rights and freedoms. It also prevents them from realising their fullest potentials and possible contributions and benefiting equitably from development of their families and societies.

"In many ways violence against women retards their efforts for personal advancement and impedes efforts towards poverty reduction because women's potential is not utilised optimally," he said.
He pointed out that violence against women was undermining efforts to achieve the Millennium Development Goals in Africa.
"We know for a fact that some African countries will not achieve the MDGs that have key indicators on gender matters and others partly because of gender based violence," Kikwete said, adding: "The objective of reducing poverty, ending hunger, deprivation and promoting socio-economic development for all peoples on all continents will not be realised if violence against women and girls continues."

"We cannot achieve our objectives if young girls are being abducted on their way to or from school," he noted.

The president said in many of the countries girls are forcefully married off at a very tender age, putting them at risk of getting pregnant at too young an age and at risk of contracting HIV/Aids and other sexually transmitted diseases.

"Shamefully there are over 14.1 million girls in Sub-Saharan Africa who are child brides, married before the age of 18," he said.
The president however was pleased that African Heads of State and Government have taken a positive stand by enshrining in Article 4 (L) of the Constitutive Act of the African Union the inclusion of the gender parity principle.
"This provides for a moral obligation for all member states to enshrine this principle in their national constitutions, legislations and socio-economic development policies and programmes," he said.

He assured the gathering that Tanzania remained committed to the pursuit of gender parity and fighting violence against women.
"We will not falter in this endeavour. I am ready to work with my colleagues in other countries to promote this noble cause in the African continent," he stressed.

Other measures according to him included, ground breaking Protocol on African Charter on Human and People's Rights on the Rights of Women in Africa which was adopted by the African Union on 11 July 2003 at its second summit in Maputo, Mozambique.
According to the World Health Organisation (WHO), up to 70 per cent of women experience physical or sexual violence in their lifetime.
Among women aged between 15 and 44, acts of violence cause more death and disability than cancer, malaria, traffic accidents and wars combined.

WHO said in Sub-Saharan Africa, between 13 per cent and 45 per cent of women suffer assault by their intimate partners during their lifetime and as we speak over 3 million girls are at risk of female genital mutilation.
By PATRICK KISEMBO, The Guadian

Source:JK: Actions needed to end violence against women - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education
 
With such a strong speech one would expect strong and pragmatic measures in place already. Hivi kuna mtu anajua government za JK1 na JK2 zimefanya nini in this regard?
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kwanza mie naona tuanze na definition ya hiyo violence

Kisheria na kinadharia
 
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa

Public health definition of violence: The intentional use of physical force or power, threatened or actual, against oneself,
another person, or against a group or community, that either results in or has a high
likelihood of resulting in injury, death, psychological harm, maldevelopment [sic] or
deprivation

violence can be against oneself....interesting
 
Hapa hakuna lolote la maana kwa sababu wanawake wenyewe ndiyo wana condone hayo mambo! Mabadiliko hayawezi kutokea kama wahusika wakuu/ wahanga wa violence hawana mshikamano.

Na jamii yetu nzima kwa ujumla inalea ukiukwaji wa haki za binadamu. Majuzi hapa tumeona mtu anachomwa moto kwenye broad daylight na watu wanaona sawa tu...wanaona eti kastahili!

Sasa hii ya violence against women to me is a pipe dream! Na mpaka sasa sijaona special interest group yoyote ile ya wanawake yenye ushawishi mkubwa. Pitiful!
 
Intimate partner violence-"any behavior within an intimate relationship that causes physical, psychological, or sexual harm to those in the relationship.
Acts of physical aggression-such as slapping, hitting, kicking, and beating;
Psychological abuse-such as intimidation, constant belittling, and humiliating;
Forced intercourse and other forms of sexual coercion;
Various controlling behaviors-such as isolating a person from his/her family and friends, monitoring his/her movements, and restricting his/her access to information or assistance"
Economic abuse-such as withholding funds, controlling survivor's access to healthcare, employment, and so on

Vitu vyote hivyo vikiingizwa kwenye equation asilimia ngapi ya Watanzania hawahusiki na hili suala?
 
Kwanza kuwapata tu hata wanaoelewa ni kazi kweli kweli!
 
Kwa sheria za Tanzania, vitendo kama kukonyeza mtu au kumpigia mluzi ni unyanyasaji wa kijinsia

Hapa wangapi wanatenda kosa hilo kila siku?
 
Hapa hakuna lolote la maana kwa sababu wanawake wenyewe ndiyo wana condone hayo mambo! Mabadiliko hayawezi kutokea kama wahusika wakuu/ wahanga wa violence hawana mshikamano.

Na jamii yetu nzima kwa ujumla inalea ukiukwaji wa haki za binadamu. Majuzi hapa tumeona mtu anachomwa moto kwenye broad daylight na watu wanaona sawa tu...wanaona eti kastahili!

Sasa hii ya violence against women to me is a pipe dream! Na mpaka sasa sijaona special interest group yoyote ile ya wanawake yenye ushawishi mkubwa. Pitiful!

hapa nakubaliana na wewe mia ya mia. Ila nina kijiswali kidogo; nini hasa unadhani kinapelekea hayo uliyoyataja hapo juu?
 
hapa nakubaliana na wewe mia ya mia. Ila nina kijiswali kidogo; nini hasa unadhani kinapelekea hayo uliyoyataja hapo juu?

Mila na tamaduni, ujinga, uoga, ukosefu wa utawala wa sheria (kama mtu anaweza kuuliwa na kundi la wahuni mchana kweupe tena mbele kamera za runinga na hakuna anayechukuliwa hatua ni nini kitakachozuia mwanamke kubakwa hadharani mbele ya kadamnasi?).....ninaweza kuandika kitabu hapa!!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kwa sheria za Tanzania, vitendo kama kukonyeza mtu au kumpigia mluzi ni unyanyasaji wa kijinsia

Hapa wangapi wanatenda kosa hilo kila siku?

unauliza jibu?

kosa linatendwa hadi limekuwa 'mazoea'...hata watendewa wanona ni sawa tu, rejea bandiko la kwanza la NN
 
Bee

Wangapi tunajua kisheria unyanyasaji wa kijinsia una husisha nini? Si mtenda wala mtendewa. Na kama hatujui hata mipaka ya hilo tatizo, tutatatua vipi?

Njaa na elimu ndogo pia inachangia. Mtu utaambiwa "unapewa kila kitu, stahamili tu hayo maneno yake machafu, mzowee"

:A S embarassed:
 
Mila na tamaduni, ujinga, uoga, ukosefu wa utawala wa sheria (kama mtu anaweza kuuliwa na kundi la wahuni mchana kweupe tena mbele kamera za runinga na hakuna anayechukuliwa hatua nini kitakachozuia mwanamke kubakwa hadharani mbele ya kadamnasi?).....ninaweza kuandika kitabu hapa!!

Haswa shida inakuja hapo, kwa mfano kwenye hilo la ujinga/kutofahamu, hatujui hata haki zetu za msingi ni zipi, utawala wa sheria kwa nchi hii ndo bure kabisa (mfano wa mtu kuchomwa moto mbele ya wana habari na bado wahusika wasichuuliwe sheria), tena hao law enforcers ndo wanachangia matatizo kama haya, nenda na kesi yako kuwa umnyanyaswa kijinsia usikie vile polisi wanavyo kukejeli...inasikitisha sana kwa kweli
 
Forced sex within marriage is not criminalized by the law [in Tanzania]

Wives are expected to provide sex to husbands, and both men and women acknowledged that wives who refuse sex can expect to be beaten and/or raped.

Hili mie naona ni moja ya matatizo sugu mno tuliyonayo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom