bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,885
Bee
Wangapi tunajua kisheria unyanyasaji wa kijinsia una husisha nini? Si mtenda wala mtendewa. Na kama hatujui hata mipaka ya hilo tatizo, tutatatua vipi?
Njaa na elimu ndogo pia inachangia. Mtu utaambiwa "unapewa kila kitu, stahamili tu hayo maneno yake machafu, mzowee"
:A S embarassed:
Sheria zetu zenyewe hazijitoshelezi kukabiliana na hili tatizo