Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Afu kijana huyo uta msikia single mothers wana laana, Lina jisahau ujinga wake lilio fanya.
 
Maamuzi mengine ya Kipuuzi ni kuoa mwanamke ambaye utaishi naye kama dada wa kazi na nyongeza atakayokupa ya kukuzalia watoto na kukupa mbunye. Unaoa mwanamke hajui hata kutafuta hela ya chumvi wakati ambao wewe unatafuta Ugali na Mboga. Uzoefu unaonesha kuwa mara nyingi wanaume huondoka na mapema kutokana na misukosuko ya hapa na pale hivyo kama unamuacha mwananke na watoto ambao hawezi hata kuwatafutia paracetamu. Fahamu kabisa wewe pia utachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza idadi ya watoto wa mtaani duniani.

Mipango yote ni ya mungu lakini kuna wakati kuoa mwanamke ambaye anaweza kutatua changamoto ndogo ndogo au kubwa za kimaisha ni kama backup pale ambapo mwenyezi Mungu ataamua kutoa kile chenye thamani zaidi (roho) katika jumba lake ambalo binadamu hawawezi tena kukaa nalo hata mwezi ndani ya nyumba zao.
 
Mzee una oa mke au una taka uoe financial patner ??.
maana as a bread chaser lazima u fulfill majukumu yako.

Sikatai kuwa ana paswa aji ongeze, ila hio ndoa sio Chaka la uzembe wako.
 
Madam na hao mabinti nao wako ongeze, huoni dira ya ndoa au ustaarabu wa malezi bora.
It's better huo uhusiano ufe
 
Njia za uzazi zipo, USI jifanye bingwa wa kukata kiuno.
Siku una ondoka, watoto Wana Baki na tabu.

Piga kazi Kwa juhudi, hata ukiondoka, watoto wako wafaidi juhudi
 
Inasikitisha Sana.

Kuzaa ni jambo zuri ikiwa umejipanga kuzaa ,kulea na kuhudumia .

Wanaume na wanawake wabongo moja ya mambo yanawapa shida nikuzi-control hisia zao za ngono.

Watoto yatima ndo walipaswa kuwa wanaangaliwa Ila unfortunately watu wapo hai wanazaa watoto wanawatelekeza huku wakila bata.
 
hii jamii ina lalamika haki Zina banwa, ila sisi ndo ma dictator wabaya Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…