chit chat watemebelaji wachache, jukwaa la habari ni wengi zaid wangefaidka pia na maneno mazuri kama haya.Umepachukuliaje chit chat mpwa...!?
Chit-Chat maana yake stori tu, yaani kama kijiweni vile. Kuna vijiwe wanapiga stori za maana na kwingine wanapanga hesabu za kukaba, teh teh teh...