Jizi hili, tujihadhari nalo.

Jizi hili, tujihadhari nalo.

poa tu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
1,173
Reaction score
1,657
Huyu kijana anaitwa Yusuph Said, anapatikana maeneo ya Bunju na Mbezi,

Ni tapeli na mwizi. Popote utakopomwona hapa Dar usisite kutupigia kwa namba 0716771673. Huwa anafanya kazi za kuchimba mashimo, hujifanya daktari, na pia hujifanya anamiliki duka la stationary
 

Attachments

  • 1473398066398.jpg
    1473398066398.jpg
    21.8 KB · Views: 77
  • 1473398101079.jpg
    1473398101079.jpg
    32.6 KB · Views: 76
  • 1473398116867.jpg
    1473398116867.jpg
    27.6 KB · Views: 71
Tutajuaje hamjagombana ukaamua kumchafua? Ana kesi zipi zilizo Polisi kwa uchunguzi, RB zake zi wapi...
 
Huyu kijana anaitwa Yusuph Said, anapatikana maeneo ya Bunju na Mbezi,

Ni tapeli na mwizi. Popote utakopomwona hapa Dar usisite kutupigia kwa namba 0716771673. Huwa anafanya kazi za kuchimba mashimo, hujifanya daktari, na pia hujifanya anamiliki duka la stationary


Ameiba nini na kwa ushahidi upi??? Isije ikawa picha zinasambazwa mitandaoni kwa sababu ya chuki binafsi au tofauti zenu huko 'mitaani'....
 
  • Thanks
Reactions: 4wd
What[emoji15] [emoji15] [emoji15] ?
 

Attachments

  • 1473400228182.jpg
    1473400228182.jpg
    24 KB · Views: 53
Back
Top Bottom