Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
mwanausalama FEKI😕😕😕huyo Chahali nchi amezamia ulaya huko baada ya kuwadanganya eti anatafutwa na serikali auwawe hawezi kurudi tanzania kwanza ameshafutiwa uraia wa tanzania
jamaa anavyopenda live covarage leo angekuwa anawaapisha wale wa jana alowateua na hotuba kedekede zilizojaa mikwara na kejeli nahisi kuna kitu hakipo sawa vile nasikia moyo na brain kidogo havipo sawasawa.Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani gani wakata kuna vilio mitaani hali ngumu ya maisha na unazidi kuwa mbaya kila uchaomkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
mkuu nimecheka hapo kwenye kaupenyo hahahaha. yumkin hali si shwari tena. jamaa ataishia hapoKama ni wafuatiliaji wazuri wa matukio basi mtamuelewa Chahali vizuri otherwise mnataka spoon feeding.
Kujitokeza kwa wale vijana wawili (mawaziri) though mmoja alitumbuliwa na kujieleza kwa uwazi na kuyakana maamuzi yako juu ya 1.Sheria ya mitandao , 2. Bunge live na kusisitiza kuwa haikuwa kwa matakwa yao si bure, kuna namna au kuna kaupenyo wamekachunguli na labda tunaweza kukahusisha na ukimya wa Mchato.
Huyu jamaa usitilie maanani mambo mengi anayoandika. Anakuwa kama mtu anayeota ndoto halafu akiamka anaandika. Halafu amekuwa obsessed na mambo ya intelijensia kiasi ambacho nadhani yanamleta maluweluwe fulani na kujiona kama anayofikiria kichwani ni kweli yanatokea. It seems like we have a paranoia case!Mkuu Chahali, nimejaribu kureview mabandiko yako ili kuunganisha uzi lakini maandiko yako yanajichanganya na kukaa mkao wa "kuoteaotea" au unalishwa matangopori.
Hata hili "hamna kitu" mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hana lolote na hajui lolote bali anachofanya ni kuleta thread ikionyesha kama anajua jambo fulani ili wachangiaji wamsaidie kulijua.Mkuu Chahali, nimejaribu kureview mabandiko yako ili kuunganisha uzi lakini maandiko yako yanajichanganya na kukaa mkao wa "kuoteaotea" au unalishwa matangopori.
Hata hili "hamna kitu" mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa kwa hali hii mbona utajishushia credibility kubwa uliyoijenga miaka kibao humu!Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh! Huu ndo ugonjwa au kitu gani?Yawezekana ni COF..0001 tusubiri tuone
Hamtaki azindue, hamtaki afungue, kila kitu nongwa kulikoni, akikaa kimya, mnasema kwanini amekaa kimya, akiongea yake ya moyoni minuno, anaongea sana, afanyanje Mzee wa watu??Hata kuzindua sikuhizi hakuna uzinduzi. Sijui tumefikia malengo ya viwanda!
1999 - Muhasisi wa taifaUmenikumbusha ya mwaka 1984, mwaka 1999 na mwaka 2001
Mkuu dada poa, Maisha ni zaidi ya kutembea usiku, Labda ungesema tunafanya kazi mpaka usiku wa manane. Mabasi bado mwisho saa 4 usiku wewe unajisifia kuzurula usiku au mwezetu dada poa?mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi