Jiwe safarini arusha part 2

Mtoe sweetlady kwenye hyo list. Nipo naye dar

Ndio mana I love you miaka mia moja manake unajua kuniwakilisha vema..... Mpendwa Jiwe Linaloishi kama alivokushauri baba mtoto wangu Nicas Mtei mie nipo dar hivyo hatutaweza kuonana ila hope ushakuwa mwenyeji so nategemea mambo yataenda sawa sawia.... Happy easter!!!
 
Last edited by a moderator:

sijawa mwenyeji kihivyo nyie ndio wakunifanya niwe mwenyeji sawaswa,
easter njema na wewe pia
 
Ndio zao mkuu mimi nataka kubakia na ubachela wangu hivihivi.

Nakujia 😛hone: kwa kuwa naenda kuhesabiwa soon!

hata mi mkuu nna mpango wa kesho saa 9 niende japo kuhesabiwa kwenye bajeti mpya ya mwezi ujao
 
Pasaka nilipanga nikutoe out jamani, kumbe haupo, looo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…