Jiwe la Msingi la reli mpya ya SGR Dar-Moro kuwekwa tarehe 12 Aprili 2017 na Rais John Magufuli

Rais anachosimamia ni ilani ya chama chake maana ndio mkataba kati ya serkali na wananchi na si vinginevyo!na amejitahidi aisee
 
priorities, priorities!!
JPM hakuwahi ku deal na watu, yeye mambo yake ndio hayo. baadaye mtakuwa kama Ethiopia mna ndege msizo weza kupanda, mna tren msizo weza kutumia, mna barabara msizo weza kupita, mna umeme mso weza kulipia.

maendeleo yeyote lazima yaendane na mahitaji ya msingi ya binadamu. Rais achia ajira, ongeza juhudi za uwekezaji, weka hata program za umeme na maji kila kijiji, fungulia wageni waje kuwekeza, hapo uta win ila for sure utakuwa unazindua vitu na watu hawata kuelewa kwa ku kosa mambo madogo ila ya msingi.
Nimekuelewa mkuu.
 
Big up iceman.
Tafakari nzuri sana,
 
Nimesikia train itakuwa inatumia umeme..nmejiuliza ni huu umeme wa Tanesco..nikabaki nacheka nikitarajia kuwaona abiria wakishushwa porini
 
Kesho Rais Magufuli anategemea kuweka jiwe la msingi hapa Dar es salaam kwa Reli ya kisasa itakayotumia muda mfupi Dar kwenda Morogoro

Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Leo alipokuwa anaongea na wanainchi.

Inasemekana train hii hii itatumia saa 2 kufika Morogoro ikitokea Dar es salaam.

Nilipo ona jina lake tuu,nikajua hakuna habari! Watanzania tabia ya kujikomba Na unafiki itakwisha lini?
 
Uzinduzi unafanyika Pugu Mkoa wa Pwani sio Dsm
Pugu iko wilaya ya Ilala ya Mama Sofia Mgema Mkoa wa Dar wa Paul Makonda.

Nadhani bado kuna shida kufahamu mpaka ya wilaya na mikoa ktk nchi hii.

Rudini ktk somo la Jiografia au ktk Ramani yako hapo ulipo.
 
Nilipo ona jina lake tuu,nikajua hakuna habari! Watanzania tabia ya kujikomba Na unafiki itakwisha lini?
Na wewe ukatekwa na jina tu.wala usinge Hata comment kama siyo habari.

Pole kwa hasira ila hakuna namna ndiyo tupo wote nchini mbaya zaidi ndani ya JF na mbaya zaidi nakufahamu mpaka kazini kwako na unakoishi.

Relax tu tuishi na tuombe MUNGU tu tuwe na Amini basis mengine Hayo yaache tu.
 
watu wa dar ndio wanaomfuga makonda, njia pekee ya kumpinga makonda ni kutohudhuria shughuri zake hizo hadi atapotoa vyeti
Wapumbavu wasiokuwa na kazi utawaona leo tena wamepewa usafiri bure wa kwenda Pugu kuzindua!!!!
 
Ngoja nimsikilizie mzee leo sijui atakuja na jibu gani? teh teh teh Hii ndo Tanzania bana maana neno lake moja tu gumzo nchi nzima mapovu....
 
Kesho Rais Magufuli anategemea kuweka jiwe la msingi hapa Dar es salaam kwa Reli ya kisasa itakayotumia muda mfupi Dar kwenda Morogoro

Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Leo alipokuwa anaongea na wanainchi.

Inasemekana train hii hii itatumia saa 2 kufika Morogoro ikitokea Dar es salaam.
Mwambie aweke cheti mezani ndiyo tutakapoweza kumsikiliza vinginevyo tangazo hili ampelekee Baba yake Magogoni
 
Back
Top Bottom