Jiwe la Msingi la reli mpya ya SGR Dar-Moro kuwekwa tarehe 12 Aprili 2017 na Rais John Magufuli

"..Kwa wale ambao hawana kazi wala majukumu kutakuwa na usafiri wa bure kuanzia stesheni ya Dar Es Salaam...."

RAHCO
 
Ngoja nimsikilizie mzee leo sijui atakuja na jibu gani? teh teh teh Hii ndo Tanzania bana maana neno lake moja tu gumzo nchi nzima mapovu....
Tegemea kituko kingine maana kila uzinduzi Baba na Mwanaye kazi yao ni kuleta majanga kwa Wananchi
 
Kesho Rais Magufuli anategemea kuweka jiwe la msingi hapa Dar es salaam kwa Reli ya kisasa itakayotumia muda mfupi Dar kwenda Morogoro

Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Leo alipokuwa anaongea na wanainchi.

Inasemekana train hii hii itatumia saa 2 kufika Morogoro ikitokea Dar es salaam.

Mwandishi ni
 
Huyo mwandishi ni yule tumbotumbo??? Mvaa mapensi?? Punga la hapo mjini Dari salaam??
 
Wapumbavu wasiokuwa na kazi utawaona leo tena wamepewa usafiri bure wa kwenda Pugu kuzindua!!!!
Sio wapumbavu ni watanzania wanaipenda nchi na maendeleo yake na kuwaheshimu viongozi wao.
 
watu wa dar ndio wanaomfuga makonda, njia pekee ya kumpinga makonda ni kutohudhuria shughuri zake hizo hadi atapotoa vyeti
mbona makonda ni kama maji lazima utakutana naye tu kama siyo kunywa,kuoga hata kunawa utanawa tu.
 
Kesho Rais Magufuli anategemea kuweka jiwe la msingi hapa Dar es salaam kwa Reli ya kisasa itakayotumia muda mfupi Dar kwenda Morogoro

Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Leo alipokuwa anaongea na wanainchi.

Inasemekana train hii hii itatumia saa 2 kufika Morogoro ikitokea Dar es salaam.
Safi sana Makonda waha wapiga debe waendelee na ngojera zao HAPA KAZI TU
 
Mwambie aweke cheti mezani ndiyo tutakapoweza kumsikiliza vinginevyo tangazo hili ampelekee Baba yake Magogoni
Kama bado akili zako zimeshikiliwa na Askofu Gwajima na Dada Mange wa USA kuhusu tamthliya ya vyetu basi una shida.

Watu wanafikiria namna ya kuwatumikia wanainchi ktk Huduma za jamii na issue ya vyeti tulishasahau toka tulipoapishwa baada ya vetting.

Wewe endelea na vyeti mpaka kiama sisi tunasonga mbele mpaka Mwisho wa awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom