Matinyi na Danadana Mpya ya SGR: Ratiba ya kuanza kwa safari za treni ya SGR Dar-Moro kuwekwa hadharani hivi punde

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,059
49,743
Kwenye #SupaBreakfast Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, akizungumza kuhusu kuanza kwa safari za treni ya kisasa SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro amesema:

"Kulikuwa na mabadiliko kidogo kuhusu hasa ratiba kwa sababu kuna vitu vinaweka vizuri ili huduma hiyo ikianza kuwe na usalama wa kutosha na huduma zilizonyooka kwahiyo tunatarajia hivi karibuni Shirika la Reli litatangaza kwa uhakika kuwa ni lini huduma inaanza.


My Take
Safari za Sgr zikishaanza hivi Punde baada ya hiyo ratiba mnistue 😁😁
 
Back
Top Bottom