kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, John Pome Magufuli anatarajiwa kuweka jiwe la msingi eneo la Pugu kuashiria kuanza kwa ujenzi wa reli ya kisasa(SGR) ambayo inakadiriwa kuwa na mwendokasi wa kilomita 160 kwa saa na itaanzia Dar mpaka Morogoro kwenye awamu ya kwanza.
Usafiri wa kutoka Dar kwenda Morogoro unakadiriwa kutumia masaa mawili, zoezi hilo kuanza saa tatu asubuhi.